Mwanamuziki anayefanya vizuri ndani na nje ya nchi Diamond ameripotiwa kuingiza mkwanja mrefu kupitia mtandao wa kusikiliza na kutazama muziki wa YouTube.Kwa mujibu wa mtandao...
Rapa Daniel Hernandez maarufu 6ix9ine amerudishwa jela kwa siku 30 baada ya kukiuka masharti ya kifungo cha nje alichopewa na Mahakama mwaka 2019.
Mahakama imechukua ha...
Marehemu mwigizaji kutoka Nigeria John Okafor (62) maarufu Mr Ibu ambaye alifariki Machi 2, 2024 tayari amezikwa katika mji aliozaliwa wa #Amuri, Jimbo la #Enugu nchini humo.I...
Wake wawili wa marehemu mwigizaji Mr Ibu, Ifeyinwa Okafor na Stella-Maris Okafor wamehudhuria msibani kwa mume wao licha ya kutokuwa na maelewano mazuri kwa muda mrefu.Kwa muj...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria Kizz Daniel ameripotiwa kuachana na mkewe, hii ni baada ya kufuta picha zote akiwa na mama watoto wake huyo.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa K...
Kwa mujibu wa jarida la Essence kutoka nchini Marekani limetoa listi ya mastaa wa kiume wanaovutia zaidi huku mkali wa Afrobeat Burna Boy akitajwa kwenye orodha hiyo.Kwa mujib...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Kizz Daniel ameamua kuwatolea uvivu wanaosema mkewe mbaya.Kupitia ukurasa wake wa Instagram upande wa ‘komenti’ Kizz amekuwa akiw...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Kizz Daniel ameweka wazi kuwa yupo kwenye ndoa kwa miaka minne sasa.Kupitia ukurasa wake wa X (zamani twitter) alithibitisha hilo baada ya sh...
Nyota wa NBA kutoka nchini Marekani Paul George ameweka wazi kuwa alishawahi kukataa ombi la ‘rapa’ Nicki Minaj kuwepo katika moja ya ngoma zake.Paul alifunguka su...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Kizz Daniel amejipongeza kwa kujinunulia gari aina ya ‘Rolls Royce Cullinan’ akisheherekea kutimiza miaka 10 katika muziki.Msanii...
Mwigizaji maarufu kutoka nchini #Nigeria, #ReginaDaniels amezua gumzo mitandaoni baada ya kudai kuwa yuko tayari kumtolea figo mumewe Mh.NedNwoko ili apone na aendelee kuishi ...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Kizz Daniel akanusha taarifa ya yeye kukamatwa nchini Ivory Coast kwa madai ya kuwa alikataa kutumbuiza kwenye show moja nchini humo, licha y...
Kundi la kondoo nchini Ugiriki kwenye mji wa Almyros limevamia nyumba ya kuhifadhia mimea na kula bangi zilizokuwa zimehifadhiwa kwa ajili ya matibabu.
Inadaiwa kuwa kon...