15
Drake afuta kesi, dhidi ya Spotify na UMG
Rapa wa Marekani mwenye asili ya Canada, Drake ameripotiwa kufuta kesi aliyoifungua dhidi ya Spotify na Universal Music Group baada ya kuzishutumu taasisi hizo kwa kuanzisha m...
16
Jake Paul ashinda pambano dhidi ya Tyson
Waswahili wanasema usiku wa deni haukawii kukucha, basi msemo huu unajidhihirisha kufuatia na pambano ambalo lilisubiriwa kwa hamu la bondia wa zamani wa ngumi za kulipwa Mike...
03
Mahakama yampa siku 21 Mwijaku kuwasilisha utetezi dhidi ya Kipanya
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imetoa siku 21 kwa mtangazaji wa Crown Media, Burton Mwemba Mwijaku kuwasilisha utete...
09
Magoma akwaa kisiki kesi dhidi ya Yanga, aamriwa kulipa gharama
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeruhusu Klabu ya Dar es Salaam Young Africans Sports kufanya mapitio ya marejeo ya shauri la madai namba 187/2022 lililofunguliwa na Juma Mag...
01
Mashabiki Sudani Kusini walivyofuatilia mchezo dhidi ya USA, Olimpiki 2024
Mashabiki wa michezo Sudan Kusini usuku wa kuamkia leo walikusanyika katika eneo moja kwa ajili ya kufuatilia mchezo wa Mpira wa K...
11
Kobbie Mainoo aweka rekodi tamu Euro 2024
Staa wa timu ya taifa ya England na Manchester United Kobbie Mainoo ameweka rekodi bora zaidi katika michuano ya Euro 2024, akipiga pasi sahihi nyingi kuliko wachezaji wengine...
29
Video ya mateso aliyopitia Celine Dion dhidi ya ugonjwa wake
Baada ya mwanamuziki kutoka Marekani Celine Dion kuachia ‘trela’ ya filamu yake huku ikiteka vichwa vya habari baada ya kuonekana akimwaga machozi, hatimaye filamu...
26
Lupita Nyong o aunga mkono maandamano Kenya
Mwigizaji kutoka Marekani mwenye asili ya Kenya Lupita Nyongo amelipongeza kundi la vijana la ‘Gen Z’ na wananchi wote nchini humo kwa kuchukua uamuzi wa kuandaman...
07
Ten Hag hajapoteza matumaini na Man United
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amesema bado anataka kuendelea kupambana kuhakikisha anakuwa kocha wa timu hiyo msimu ujao pamoja na kupata matokeo mabaya. United ili...
05
Pep aipa Arsenal ubingwa
Imeripotiwa kuwa kocha wa klabu ya #ManchesterCity, #PepGuardiola amesisitiza kuwa klabu ya #Arsenal ina nafasi kubwaya kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu ikiwa wa...
02
Benzio: R.Kelly anastahili nafasi ya pili
Mmiliki wa vyombo vya habari na ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Raymond Scott, maarufu ‘Benzino’ amemkingia kifua mkali wa R&B, R. Kelly akitaka msan...
18
Cr7 ashinda kesi dhidi ya Juventus
Nyota wa soka duniani #CristianoRonaldo ameshinda kesi ya madai ya mshahara dhidi ya klabu yake ya zamani ya #Juventus. Klabu hiyo inatakiwa kumlipa CR7 kiasi Sh26.9 bilioni k...
11
Jason Derulo anaamini Diddy hana hatia
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Jason Derulo amkingia kifua mkali wa Hip-hop Diddy kwa kudai kuwa mwanamuziki huyo hana hatia. Derulo ameyasema hayo wakati alipokuwa akipig...
03
Mtoto wa Diddy ayakanyaga
Mtoto wa mkali wa Hip-Hop kutoka nchini Marekani Diddy, King Combs anatarajiwa kufunguliwa mashitaka dhidi ya unyanyasaji wa kingono. Kwa mujibu wa tovuti ya Vibe imeeleza kuw...

Latest Post