Leo ni Birth Day ya album ya A Father Figure kutoka kwa mkali wa Hip Hop Dizasta Vina ambayo ilitoka rasmi January 6, 2024 ikiwa imeshiba ngoma kama Theluji, Nobody is safe 5,...
Na Masoud KoffieKwa wafuatiliaji wa muziki wa Hip-hop jina la Dizasta Vinna sio geni masikioni mwao, kutokana na umaarufu aliopata kwenye kiwanda cha burudani nchini. Edger Vi...