Albamu ya A Father Figure kutoka kwa mkali wa Hip Hop, Dizasta Vina iliyotoka Januari 6, 2024 ikiwa imeshiba ngoma kama Theluji, Nobody is safe 5, Hatia VI, Not A Hero, Chupa ...
Kwa zaidi ya miaka 10 Darassa amefanya muziki tofauti kabisa na rapa wenzake, uwezo wake wa kuchanganya vionjo na utunzi wa aina yake umefanya nyimbo zake kupendwa na watu wen...
Na Michael AndersonMambo vipi pande za vyuoni? tunapoanza mwaka mpya wa masomo tambua kwamba unahitaji kuongeza thamani zaidi katika maisha yako binafsi ikiwa unasogea kuingia...
Kabla ya kutumia bidhaa za urembo, ni muhimu kujua na kuelewa mambo kadhaa ili kuhakikisha kuwa unatumia bidhaa zinazofaa na salama kwa ngozi yako. Mwananchi Scoop imeangazia ...
Urembo wa miwani umekuwa ukipendwa na watu wengi sana na mara nyingi urembo huo uleta muonekano wa kitajiri kwa wavaaji. Kutokana na hilo unaponunua miwani ya urembo, k...
Kufuatia kifo cha mwigizaji Fredy Kiluswa kilichotokea jana Novemba 16,2024 katika hospitali ya rufaa Mloganzila, mwongozaji msaidizi wa tamthilia ya 'Mizani ya Mapenzi' Alex ...
Baada ya kujuzana namna ya kupata wateja katika mitandao ya kijamii na jinsi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali kwa ajili ya kujipatia fursa, wiki hii Mwananchi Scoop imea...
Msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki, maarufu kama Nay Wa Mitego, ameshitakiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kwa makosa manne yanayohusiana na wimbo wake wa &lsquo...
Na Michael Onesha Mtu wa kwanza kutambua na kuamini kuwa wewe ni wa thamani anatakiwa kuwa wewe mwenyewe. Jione na jiamini kuwa mtu wa thamani kubwa na mwenye vingi, usikubali...
Kwa niliyoyaona siku nne za tamasha la 27 la filamu za kimataifa Zanzibar 'ZIFF' nadhani yanaweza kuelezeka kwa msemo wa "ng'ombe unaweza kumpeleka mtoni lakini hauwezi kumlaz...
Inaripotiwa kuwa ngozi ya kuku inakiwango kikubwa cha mafuta ambayo ni hatari kwa afya ya binaadamu.
Kwa mujibu wa tovuti mbalimbali duniani zinaeleza kuwa ngozi ya kuku ina m...
Zipo imani nyingi juu ya kutunza sauti kwa ajili ya uimbaji, wapo mwanaodai kuwa mayai na asali ni kati ya vitu muhimu katika kuboresha sauti ili iwe na mvuto.
Sambamba na hay...
I hope mko pouwa watu wangu wa nguvu, leo katika segment ya Kazi tumekusogezea kitu ambacho kitakusaidia wewe unayehangaika kila ifikapo asubuhi wakati wa kwenda kazini kwa ku...