Mwanamuziki anayefanya vizuri ndani na nje ya nchi Diamond ameripotiwa kuingiza mkwanja mrefu kupitia mtandao wa kusikiliza na kutazama muziki wa YouTube.Kwa mujibu wa mtandao...
Baada ya Mfululizo wa msimu wa pili wa Squid Game kufanya vizuri mara tu baada ya kuachiwa, wasambazaji wakuu wa filamu hiyo Netflix wametangaza ujio wa Msimu wa 3 utakaotoka ...
Utoaji wa albamu kwa wasanii ni moja ya kitu kinachotafsiriwa kama mafanikio yake kwenye kazi ya muziki. Licha ya kuwa albamu hutafsiriwa kwa upande huo, lakini kwa sasa wasan...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Kayumba Juma ameweka wazi juu ya mwendelezo wa sakata lake alilodai awali kudhulumiwa Sh 7 milioni na Director Elly Mzava, ambaye anafanya kazi na R...
Na Aisha Charles
Safari moja huanzisha nyingine, ndivyo ilivyo kwa mchezaji dansi Set Fibby, maarufu kama Mrs Energy, baada ya kuamua kujikita katika muziki wa Bongo Fleva, ha...
Klabu ya #ManchesterUnited inajiandaa kusaini nyaraka kwa ajili ya kumtangaza Dan Ashworth kama Mkurugenzi wa Michezo kutoka klabu ya Newcastle United baada ya vilabu hivyo ku...
Na Aisha CharlesMambo vipi watu wangu wa nguvu kama kawaida tunaendelea kulisukuma gurudumu katika ulimwengu wa Fashion, siku zote ili uwe smart unatakiwa usipitwe na mitindo....
Mchezaji NBA Darius Morris anatajwa kufariki kwa ugonjwa wa moyo, huku matumizi ya dawa za kulevya na pombe yakitajwa kama chanzo, mchunguzi wa afya wa Kaunti ya Los Ang...
Jake Paul amewajibu watu wanaosema kuwa Mike Tyson ni "mzee sana" kwa pambano lake, Akizungumza na Babcock kwenye kipindi cha TMZ Sports TV mapema wiki hii, alisema kuwa bondi...
Mwanasoka wa zamani #JamieCarragher amemtaja kocha wa ‘klabu’ ya #AstonVilla, #UnaiEmery kuwa ndiye kocha bora zaidi katika msimu huu kwenye ‘ligi kuu ya #En...
Mabosi wa klabu ya #ManchesterCity wameanza kutafuta ‘kocha’ mwingine baada ya mkataba wa kocha’ #PepGuardiola kuelekea ukingoni klabuni hapo.
Awali iliripot...
Marvel Studios na Sony Pictures zipo kwenye mpango wa kuanza kurekodi filamu ya "Spider-Man 4" itayoongozwa na Tom Holland, Septemba mwaka huu, na itatolewa mwishoni mwa 2025....
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Kanye West ameripotiwa kuchunguzwa na polisi wa LAPD kufuatia tukio lililotokea usiku wa Jumanne baada ya mwanaume mmoja kudaiwa kums...