Tasnia ya uchekeshaji imeendelea kuwa miongoni mwa zinazofanya vizuri kwenye kiwanda cha burudani Bongo kutokana na kubeba majina ya vijana wengi wanaojihusisha na kazi hiyo i...
Kuwa na muunganiko mzuri wa wasanii hufanya kazi zao kupendwa na kuwaletea mafanikio. Wengine hupenda kuita Duo ama Combo, wasanii hao wanakuwa sio kundi moja lakini mara zote...
Bondia Deontay Wilder bado ameendelea kuwa kimya juu ya hatma yake kwenye masumbwi tangu alipoahidi endapo atachapwa na Zhilei Zhang, nchini Saudi Arabia, atastaafu.
Wilder al...
Kama ilivyo kawaida yetu @Mwananchiscoop hatulazi damu, wiki hii katika biashara tunakusogezea mada ambayo haina mambo mengi kabisa kuhusiana na vyakula simple unavyotakiwa ku...
I hope mko good wafuatiliaji wa segment ya kazi, sasa leo niko na kitu serious kidogo, kama tunavyojua kila mtu anatafuta kazi ili afanye hiyo kazi na aweze kupata anachokista...
Bondia Hassani Mwakinyo ametupa jiwe gizani kwa kusema kuwa kuna mambo madogo lakini yakitokea yanaweza kukupa furaha mwaka mzima huku akimalizia na msemo usemao nyuki w...
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, Nicodemus Katembo amesema mtu mmoja amefariki dunia baada ya kuangukiwa na jiwe akiwa katika shughuli za uchimbaji mawe.
Kwa mujibu...
Waswahili wanasema cha kale ni dhahabu msemo huo umethibitika huko nchini Iraq baada ya kupatikana kipande cha jiwe chenye umri wa miaka 2,800 kimeonyeshwa baada ya kurejeshwa...
Baada ya kusaini mkataba wa kuitumia Azam FC, Feisal Salum amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumaliza sakata lake la kuvunja mkataba na klabu ya Yanga. Katika hatua za...
Amina Rashidi mwenye umri wa miaka 25, mkazi wa Kijiji cha Mwabuki wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu, amabe amedai kuwa mtoto wake mchanga amefariki dunia na kugeuka kuwa j...
Alooooh kipo cha kujifunza kutoka kwa mwanadada maarufu anayefanya vichekesho hususani mambo yanayotokea uswahilini,hatimaye amepata ubalozi wa lotion ya kupaka inayoondoa nyw...