21
Je, Hip Hop Bongo imekwama
Peter Akaro Baada ya rapa aliyetamba na kundi la Nako 2 Nako Soldiers na sasa Weusi, Lord Eyes kudai muziki wa Hip Hop Bongo kuna sehemu umekwama, wasanii wenzie wamejibu kaul...
18
Young Killer, Nandy Watumia Mkono Mmoja Kuandika
Alianza kufanya vizuri kwenye muziki akiwa bado ni kijana mdogo, uwezo wake wa kuandika mistari kwenzi na kuichana vilivyo ulimpatia umaarufu kwa wasanii wengine hasa wa Hip H...
17
Marioo aingia studio na Bien
Baada ya mwanamuziki Marioo kutua nchini Kenya na kupokelewa kwa shangwe, ameingia studio na msanii Bien.Kupitia ukurasa wa Instagram wa Marioo amechapisha picha akiwa na msan...
31
Jaymoe: Msisubiri mpaka tufe ndio mtupe maua yetu
Mkongwe wa Hip-hop nchini Jaymoe amewataka mashabiki na wapenzi wa muziki kumpa maua yake kabla hajafa kutokana na mengi aliyoyafanya na wasanii wenzie katika tasnia hiyo.Kati...
23
Joh Makini muda umewadia
Mambo vipi mtu wangu, ihope uko pouwa kabisa leo nimekuletea hili kwenye Nyanja ya burudani tegemea kukutana na ngoma mpya  kutoka kwa Rapper  John Simon maarufu Joh...
08
Joh Makini amvaa Sallam Sk Twitter, warushiana maneno
Hivi unaikumbuka Don't Bother ya Joh Makini ft AKA? unaambiwa wimbo huo umezua maneno huko Twitter baada ya Meneja wa msanii Diamond Platnumz, Sallam SK kusema ameunganisha ng...

Latest Post