Mchekeshaji Leonardo Butindi 'Leonardo' amesema haamini maneno ya watu yanayodai kuwa pafomansi ya Said Said mbele ya Rais Samia Suluhu itaenda kuwazibia milango was...
Met Gala (Metropolitan Museum of Art Costume Institute Gala) ni tukio la kifahari la kila mwaka linalofanyika jijini New York, Marekani, kwa lengo la kukusanya fedha kwa ajili...
Kama ilivyo desturi kwa mwanamuziki nyota kutoka Barbados anayeishi Marekani, Rihanna ameendelea kutumia matukio maalumu kufichua ujauzito wake. Safari hii, ameonesha ujauzito...
Baada ya kuachana kwa maneno makali kwenye mitandao ya kijamii hatimaye Kajala na Harmonize, wameuacha umma kwenye mshangao baada ya kuonekana katika ukaribu unaodhaniwa kuwa ...
Zimesalia saa chache, dunia kushuhudia tukio kubwa la mitindo 'Met Gala' linalotarajiwa kufanyika leo Mei 5, 2025 katika jumba la makumbusho Metropolitan Museu...
Kuna watu wetu wamegoma kuzeeka. Kama siyo kiakili basi kimwili. Wapo wanaotaka miili ya 2000 iwe vilevile hadi leo. Na mawazo yao ya 2000 pia yaendelee kuwa vilevile hadi leo...
Mmiliki wa ukumbi wa Sphere uliopo Las Vegas amemtumia Beyoncé barua ya kuzuia na kusitisha (cease and desist) kipande cha video kilichorekodiwa na mashabiki katika tam...
Mwigizaji maarufu kutoka Marekani Robert Downey Jr anatajwa kuwa mwigizaji aliyevuna mkwanja mrefu katika kampuni ya Marvel (Marvel Cinematic Universe MCU) kufuatia na uhusiak...
Mwanamitindo maarufu nchini, Calisah amesema kwa sasa hataki tena mambo ya kidunia aliyokuwa akiyafanya mwanzo badala yake amemrudia Mungu.Akizungumza na Mwananchi Scoop Calis...
Malkia wa Hip Hop Soul na RnB Marekani, Mary J. Blige (54) ameshtakiwa na aliyekuwa mwanamitindo wake, Misa Hylton kwa madai ya kumkosesha mamilioni ya fedha kufuatia kuingili...
Mwanamuziki Marioo ambaye anatamba na wimbo wa ‘Tete’ na mpenzi wake Paula Kajala wameonesha sura ya mtoto wao Amarah kwa mara ya kwanza.Ikiwa leo ni siku ya kuzal...
Mmoja wa matajiri zaidi duniani na mfanyabiashara Bill Gates ameeleza kuwa miaka 10 ijayo binadamu watafanya kazi siku mbili kwa wiki huku majukumu yao yakifanywa na Akili Ban...
Wakati watu wakitulia kusherehekea Siku ya Wafanyakazi Duniani, upande wa burudani umezua gumzo zito baada ya mwanamuziki Diamond Platnumz kushiriki picha akiwa na mpenzi wake...
Sean "Diddy" Combs, ambaye anakabiliwa na mashtaka mazito ya usafirishaji wa binadamu kwa ajili ya ngono na uhalifu mwingine, amepata ruhusa ya kuvaa mavazi ya kiraia wakati w...