Kampuni inayoongoza kwa usambazaji wa biashara ya muziki duniani 'Universal Music Group' imetangaza kuahirisha baadhi ya matukio yaliyopangwa kufanyika usiku wa tuzo za Grammy...
Ikiwa zimetimia siku 14 tangu mkali wa Hip Hop Sean Combs 'Diddy' kuishi katika kuta za gereza hatari zaidi Marekani la Metropolitan, kwa upande wa mastaa aliyowaacha uraini m...
Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Dk Patrice Motsepe amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha mchezaji wa klabu ya Modern Future ya Misri, Ahmed Refaat.
Kupi...
Mkurugenzi kampuni inayojihusisha na mitindo ya nguo za wanawake Pretty Little Thing (PLT), bilionea #UmarKamani amefunga ndoa na mwanamitindo kutoka nchini Uingereza #NadaAde...
Mwanaharakati wa mazingira na mwanafunzi wa misitu kutoka nchini Ghana aitwaye Abubakar Tahiru (29) ameweka rekodi mpya ya dunia kwa kukumbatia miti 1,123, ndani ya saa moja.
...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Brazil aitwaye, Érika de Souza Vieira ameshikiliwa na polisi baada ya kupeleka maiti ya mjomba wake Paulo Roberto Braga (68) benki ili kwen...
Rais wa Shirikisho la soka Cameroon (Fecafoot), Samuel Eto’o, aitwa na shirikisho la soka Afrika (CAF) April 17 kujieleza kuhusiana na tuhuma za upangaji wa matokeo na u...
Baada ya kusota kwa miaka mingi katika uchekeshaji, sasa tunaweza kusema mchekeshaji na dansa maarufu nchini Tanzania Jay Mondy amejipata. Hii ni baada ya kupostiwa kwen...
Baada ya kukabiliwa na mashtaka mawili moja likiwa kumshambulia mmoja wa wafanyakazi katika kundi lake la ‘ASAP Relli’ kwa bunduki, ‘rapa’ Asap Rocky a...
‘Ligi’ ya nchini Uturuki yasimamishwa baada ya muamuzi, Halil Umut kushambuliwa ndani ya uwanja katika ‘mechi’ iliyochezwa usiku wa Jumatatu dhidi ya #...
Mtandao wa kusikiliza muziki wa ‘Apple Music’ kutoka nchini Ghana umetoa orodha ya ngoma 10 bora ambazo zimesikilizwa zaidi nchini humo kwa mwaka 2023 ambapo ngoma...
Aliyekuwa mke wa muigizaji Will Smith, Jada amesema kuwa yeye na Will wataishia kutengana na siyo kuachana.
Kufuatia mahojiano yake na Drew Barrymore siku ya jana Jumanne mwan...