Licha ya Rayvanny kushirikiana na aliyekuwa bosi wake kimuziki, Diamond Platnumz katika nyimbo 10, hakuna hata moja iliyofikia rekodi aliyoipata katika nyimbo mbili tu alizoms...
Msanii kutoka Nigeria Habeeb Okikiola ‘Portable’ amefunguka kwa kudai kuwa muziki unalipa kuliko mpira wa miguu huku akishangazwa na wanaodai kuwa wachezaji mpira ...
Yaani hazieleweki zinataka nini au zinataka mwanaume wa aina gani.
Mambo ya siksi paki, sijui urefu, sijui ujentlomani, sijui manini nini sijui.
Tunawaka rasmi sasa msimamieni...
Mwanamitindo kutoka nchini #Calisah amesema kuwa hawezi kuwa na mwanamke aliyemzidi kwa kila kitu hususani katika kipato.
Akiwa katika mahojiano na mmoja ya chombo cha habari ...
Utafiti uliofanywa na PEW Research Centre, nchini Marekani unaonesha kuwa wanawake wasio na wanaume (Single) nchini humo wanamiliki idadi kubwa zaidi ya nyumba ikilinganishwa ...
Kama unadhani duniani umeona kila kitu, utakuwa unajiongopea kwani kila siku yanaibuka mambo mpya huku yapo ya zamani pia ambayo bado huyafahamu. Katika ulimwengu ni nadra san...
Mwanamuziki mkongwe nchini #Nigeria, #SeunKuti amedai kuwa muziki wa Nigeria unafanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa sababu wamewekeza pesa nyingi kwenye muziki na sio elimu.
Kwa mu...
Baada ya Jay Z kuwashauri watu kuchagua pesa kuliko kuonana na yeye, kwa upande wa ‘rapa’ kutoka Marekani Rick Ross imekuwa tofauti kwake ameeleza ni bora kupata c...
Mchezaji wa zamani wa ‘soka’ nchini Germany ambaye pia aliwahi kuchezea ‘timu’ ya taifa ya Ghana Kevin-Prince Boaten amefunguka na kudai kuwa aliwahi k...
Aliyekuwa msemaji wa ‘klabu’ ya Yanga, Haji Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza hisia zake kuhusiana baada ya kukosa kutazama ‘mechi’ liv...
Baada ya ‘klabu’ ya #Yanga kuchapwa mikwaju mitatu ya ‘penati’ na #Simba siku ya jana Tanga katika uwanja wa Mkwakwani, wakati wa kutafuta mshindi wa N...
Baada ya kuwa na story nyingi kuhusiana na mtangazaji maarufu nchini Diva kuto badilisha ‘wigi’, hatimaye amevunja ukimya na kuweka sawa jambo hilo, wakati akifany...
Kila mtu huwa na uraibu wake ambao kwa upande wake huona ni sawa lakini kwa watu wengine huutazama uraibu huo kama kitu cha ajabu, kuna wale wanaopenda kula, kucha, udongo na ...