Albamu ya Marioo 'The God Son' imeshindikana kwenye Chart za muziki nchini. Hii ni baada ya kukaa kwa muda mrefu kama albamu namba moja inayosikilizwa zaidi.Albamu hiyo iliyoa...
Licha ya muziki kuhusisha usikilizaji zaidi lakini video zake zimekuwa na mchango mkubwa wa kukuza kazi za wasanii na kuwapeleka mbali zaidi. Pia zinapanua wigo wa sanaa na ku...
Msanii wa filamu na mfanyabiashara Tausi Mdegela anasema kutokana na kimo chake kifupi, kuna baadhi ya watu katika jamii na mitandao wanaona hastahili kufanya baadhi ya vitu.H...
Ikiwa ni siku moja imepita tangu mwanamuziki wa hip-hop Marekani Sean 'Diddy' Combs kutiwa nguvuni, ripoti mpya ya kilichokutwa kwenye nyumba zake yatolewa.Kwa mujibu wa waend...
Aliyekuwa kocha wa klabu ya Mamelod Sundowns, Rulani Mokwena ameripotiwa kusaini mkataba wa miaka miwili kama kocha mkuu katika timu ya Wydad Casablanca.
Inaelezwa kuwa Mokwen...
Licha ya kuwa mchezaji wa Inter Miami Lionel Messi, atafikisha miaka 37 mwezi Juni, amefunguka kuwa atastaafu soka, muda ambao atahisi hawezi tena kufanya vizuri zaidi kwenye ...
Kuna msemo unasema utampata mweza wa kufanana naye, hivi ndivyo ilivyo kwa wapendanao Nes na Joel ambao walipendana kutokana na wote kupenda kuchora tattoo.
Ikiwa jana ni siku...
Na Aisha Charles
Miaka sita iliyopita alivuma sana na kibao cha ‘Umebalika’ alichofanya na Nandy ambacho kilikuwa na ujumbe mkubwa katika jamii na ndiyo wimbo ulio...
Baada ya kuachia ‘kolabo’ ya ngoma ya ‘Huu mwaka’ mwanamuziki #Rayvanny ameweka wazi kuachia filamu maalumu ya wimbo huo inayotarajiwa kutoka siku ya k...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya wa #RealMadrid, #ViniciusJunior ametwaa tuzo ya Socrates kwa mapambano yake dhidi ya ubaguzi wa rangi pamoja na mchango wake wa hisani kwa j...
Muigizaji kutokea nchini Marekani, #ToriSpelling ameripotiwa kuhama nyumbani kwake Los Angeles baada ya kuvamiwa na jirani yake akiwa na bunduki aina ya AR-15.
Tori ambaye ali...
Muandaaji wa miss Rwanda Dieudonne Ishimwe maarufu kama Prince Kid amefungwa miaka 5 kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono kwa mabinti wanaoshiriki mashindano hayo.
Hatua hiyo ...