15
Usher Na Bieber Sio Marafiki Tena
Baada ya mwanamuziki kutoka Marekani Usher, kuwa mshauri wa muda mrefu kwa msanii Justin Bieber na kuzindua kipaji alichonacho kwa jamii, sasa imeripotiwa kuwa wawili hao huwe...
05
Punguza marafiki wabaki watu muhimu
Na Michael Anderson  Punguza marafiki ambao ukiwaambia unataka kufanya kitu wanakujibu "utawezaaa?" punguza marafiki ambao kutwa wanataka mchafue meza bar. Punguza marafi...
23
Priyanka Chopra ampongeza mumewe kwa kumlea binti yao
Mwigizaji kutoka nchini India, #PriyankaChopra amempa pongezi mumewe #NickJonas na watu wengine walioshiriki kumlea binti yake Malti kwa wakati alipiokuwa katika kazi yake ya ...
10
Mashemeji wacharuka, Wadai kanye anamchukulia mkewe kama mradi
Baada ya mwanamuziki KanyeWest na mkewe Bianca Censori kutokuwa kwenye maelewano mazuri kwa hivi karibuni, marafiki wa mwanamke huyo wanadai kuwa Kanye anamchukulia mkwewe kam...
05
Mwanamitindo Nada afunga ndoa na bilionea wa PTL
Mkurugenzi kampuni inayojihusisha na mitindo ya nguo za wanawake Pretty Little Thing (PLT), bilionea #UmarKamani amefunga ndoa na mwanamitindo kutoka nchini Uingereza #NadaAde...
07
Mr Blue: Marafiki waliniharibu
Mwanamuziki Mr Blue ameweka wazi kuhusiana na safari yake ya muziki ambapo amedai kuwa yeye aliharibiwa na watu (marafiki) ambao walikuja baada ya yeye kuwa ‘staa;.Mr Bl...
04
Fanya haya kuvutia wateja kwenye biashara yako
Wajasiliamali oyee! Leo niko na ka-vibe fulani hivii ka kuwapa mada ambazo zitakufanya upate maokoto kwa wepesi kwako wewe mfanyabiashara mwenzangu, unataka kujua unapataje ma...
02
Wanaume walio single hawafurahii marafiki walio nao
Idadi kubwa ya wanaume walikuwa ‘single’ (waseja) nchini Marekani wanadaiwa kupitia kipindi kigumu cha 'kutokuwa na urafiki', ambapo takribani asilimia 20 ya wanau...
06
Tiwa na Davido si marafiki tena
Wanamuziki kutoka nchini #Nigeria Tiwa Savage na Davido wameacha mashabiki wao katika sintofahamu baada ya wawili hao kufuta urafiki kwenye mtandao wa Instagram huku sababu ya...
24
Baba wa marehemu Amy awashitaki marafiki wa mwanaye
Baba wa aliyekuwa mwanamuziki marehemu #AmyWinehouse amewafungulia mashitaka marafiki wawili wa mtoto wake kwa  kuuza mali za mwanaye kwa kutumia majina yao mwaka 2021. &...
21
Aina hii ya marafiki watakusaidia kufikia malengo kazini
Miaka ya hivi karibuni imetufundisha mengi kuwa siku hizi unasaidiwa sana na rafiki kuliko ndugu uliyezaliwa naye, hii ni kutokana na kutiliana vinyongo na kutopenda mafanikio...
10
Aogopwa kisa kufanana na Naira, Mama yake afariki kwa presha
Mwanaume mmoja kutoka nchini Nigeria amedai kuwa amejikuta katika wakati mgumu kutokana na kufanana na mwanamuziki Naira Marley ambaye kwa sasa anashikiliwa na polisi kwa tuhu...
08
Tylor na Travis penzini
Nyota wa soka la NFL Travis Kelce na mwanamuziki Taylor Swift wamekuwa katika vichwa vya habari kwa wiki nzima ikidaiwa kuwa wawili hao wako katika mahusiano ambayo yanakuwakw...
28
Baraka The Prince alivyo mtolea nje Real Bexy kwenye ‘Kolabo’
Mwanamuziki chipukizi Real Bexy amefungukuka ambavyo Baraka The Prince alimtema kufanya naye ‘kolabo’ wakati anajitafu...

Latest Post