Albamu ya A Father Figure kutoka kwa mkali wa Hip Hop, Dizasta Vina iliyotoka Januari 6, 2024 ikiwa imeshiba ngoma kama Theluji, Nobody is safe 5, Hatia VI, Not A Hero, Chupa ...
2024 ni mwaka ambao zimeachiwa albamu nyingi kutoka kwa wasanii wa Hip-hop nchini ikiwemo albamu ya Mbuzi kutoka kwa Young Lunya ambayo ilitoka rasmi June 28, 2024 ikiwa imesh...
Baada ya baadhi ya watu kumsema vibaya Diamond kuhusiana na wimbo wake wa ‘Shu’ kuwa hautofika mbali wala kufanya vizuri, Simba ameendeleza mashambulizi kwa kutoli...
Kwenye muziki wa #HipHop kwa bongo wasanii ni wengi na kila mmoja huwa na aina ya uandishi wake kwenye upande wa mistari, wapo wale wazee wa ‘disi’, na wale wa ngu...
Kundi kubwa la mbuzi wakorofi wenye tabia ya kuzurura katikati ya mji nchini Uingereza wameachiliwa huru baada ya kushinda kesi ya uzururaji.
Mbuzi hao wa ‘Kashmir&rsquo...
Na Habiba Mohamed
Aiseeeeeee! Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni Huko Mkoa wa Dodoma Kijiji Cha Itololo machinjioni wilaya ya Kondoa, wakazi wa Kijiji hi...
Duuuuuuu! Ndoto nyingine hizi sio powa yani basi bwana Mwanaume mmoja raia wa nchini Nigeria mwenye umri wa miaka 42 anapambania kuokoa maisha yake baada ya kuzik...
Nilifahamiana na huyu kijana mwaka 2004, tulipokutana pale kituo cha utamaduni cha Russia, akawa ni rafiki yangu wa karibu sana. Tulikuwa na mazoea ya kutembeleana mara kwa ma...
Ilikuwa ni mwanzoni mwa miaka ya 2000, kipindi hicho nilikuwa napiga maji kwa kwenda mbele kabla sijaamua kuacha baada kupata misukosuko kadhaa...
Nakumbuka siku...
Nakumbuka kisa hiki nilikutana nacho siku moja majira ya asubuhi.
Nilikuwa nimepanda daladala kutoka Gongo la Mboto kuelekea Posta kibaruani kwangu.
Wanaonijua wanaweza kujiul...
Nakumbuka ilikuwa ni mwishoni mwa miaka ya 1990, ndipo tukio hili liponitokea.
Baada ya kupata misukosuko kadhaa hapa jijini Dar, kutokana na mbilinge zangu za ujanani ...
Nilikutana na binti huyu mwaka 1990 wakati huo nikikaa na kaka yangu maeneo ya Mwenge. Siku hiyo nilikuwa nimetumwa maeneo ya Ubungo na nilikuwa naendesha gari la kaka y...