Rapa kutokea nchini Marekani Nicki Minaj ameshtakiwa na aliekuwa meneja wake wa zamani Brandon Garret kwa kumshambulia na kumpiga hali iliyosababisha mfadhaiko wa kihisia kwa ...
Mwanamuziki kutoka Marekani, Nicki Minaj ameripotiwa kukabiliwa na kesi iliyofunguliwa na meneja wake wa zamani aitwaye Brandon Garrett ambaye amedai kuwa Minaj alimpiga wakat...
Mwanamuziki wa Marekani 50 Cent ameweka wazi sababu ya kutokuwa na meneja hadi leo, huku akidai kuwa ni kheri kutoa kiasi kikubwa kwa mawakili kuliko kutoa pesa zake kwa ajili...
Kiwanda cha Bongo Fleva nchini kimeendelea kubadilika kila kukicha zile zama za kufanya video za nyimbo zao kwa (Madiba) Afrika Kusini hazipo tena. Kwa sasa wengi wamejikita k...
Mshukiwa wa mauaji ya ‘rapa’ kutoka Marekani Tupac Shakur, Duane “Keefe D” Davis, amewasilisha ombi la kuachiwa huru kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa...
Bondia Deontay Wilder bado ameendelea kuwa kimya juu ya hatma yake kwenye masumbwi tangu alipoahidi endapo atachapwa na Zhilei Zhang, nchini Saudi Arabia, atastaafu.
Wilder al...
Baada ya ‘klabu’ ya Yanga kuweka bango la ushindi wa bao 5-1 dhidi ya watani wao Simba, na sasa wamerudia kile kile ambapo wametengeneza tena bango la ushindi wa 7...
Meneja Habari na Mawasiliano wa ‘klabu’ ya #Yanga, #AliKamwe amesema Ghalib Said Mohammed ‘GSM’ amenunua tiketi zote za mzunguko kwenye mechi ya marudi...
Hellow!!! Guys tunakutana tena kwa mara nyengine katika uwanja wetu pendwa wa masuala ya kazi kama kawaida team Scoop ipo kwaajili ya kukufahamisha kila kitu katika kazi mbali...
Meneja wa chumba cha kuhifadhia maiti cha shule ya mafunzo ya kitabibu ya Harvard Medical School, bwana Cedric Lodge nchini Marekani, na wengine watatu wameshtakiwa kwa kununu...
Ikiwa ni usiku mmoja umepita baada ya tuzo kwa waliofanya vizuri msimu wa 2022/23 kutolewa, Meneja Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema washahitimisha rasmi msimu. Ku...
Kama wewe ni mfanyakazi kama mimi basi lazima unaijua migogoro ya kazini. Hii migogoro inaweza kutokea kwasababu ya kupisha ama kutokuelewana baina ya wafanyakazi ila kwa mara...