Michel Lotito maarufu Monsieur Mangetout ‘Bwana mla kila kitu’ kutoka Ufaransa aliingia katika kitabu cha Rekodi ya dunia Guinness, baada ya kuweka rekodi ya mtu a...
Takribani miezi mitatu sasa watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania hususani TikTok na Instagram wamekuwa wakitumia wimbo wa ‘Halali’ katika machapisho ya...
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni, kutana na mwanaume kutoka India aitwaye Mahant Amar Bharati Ji ambaye amenyanyua mkono wake wa kulia juu kwa zaidi ya miongo minne (k...
Mehran Karimi Nasseri, raia kutoka Iran aliwavutia wengi baada ya kuishi katika Uwanja wa Ndege wa Charles de Gaulle, uliopo jijini Paris kwa zaidi ya miaka 18.Mwaka 1988, Nas...
Kampuni ya ‘Paul Dalton's Miracle Detail’ inatajwa kuwa ndio kampuni yenye gharama zaidi duniani katika uoshaji wa magari. Huku ikitumia dola 15,000 ikiwa ni zaidi...
Zimebaki siku kadhaa kuingia mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Mwezi ambao hupambwa kwa swala na nyimbo mbalimbali za Kaswida. Ni ngumu mwezi huo kumalizika bila kusikia wimbo uitwao...
Marilyn vos Savant (78) mwandishi na mtaalamu wa kujibu maswali kwa ufasaha kutoka Marekani anatajwa kuwa ndiye mwanamke mwenye akili zaidi duniani kutokana na uwezo wake wa k...
Kama tunavyojua ujauzito unapo haribika tumboni basi litachukuliwa jukumu la kusafisha na kuacha tumbo likiwa salama, lakini hii imekuwa tofauti kwa mwanamama mmoja kutoka Chi...
Mfahamu Debbi Wood mwanamama kutoka nchini Uingereza anayetajwa kuwa mwanamke mwenye wivu zaidi duniani, kutokana na tabia yake ya kutomuamini mume wake Steve Wood.Mwanamke hu...
Na Asma Hamis Wakati baadhi ya watu wakienda kwenye vituo vya huduma za afya kupatiwa matibabu ya macho pale yanapopata matatizo, hiyo ni tofauti katika kijiji cha Crnjev...
Aliyesema mapenzi upofu wala hakukosea, kwani watu hujikuta wakifanya baadhi ya mambo kwa lengo la kuwaridhisha wanaowapenda. Kutokana na mapenzi mfahamu Ethel Granger mwanama...
Waswahili wanasema ‘Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni’ msemo huu unatupeleka moja kwa moja kwa mwanamama Hetty Green, mwanamke ambaye ameishi akivaa nguo ya...
Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Ari Nagel kutoka Brooklyn nchini Marekani kwenye siku ya baba duniani inayoadhimishwa kila mwaka Juni 16, amesheherekea siku hiyo kwa kupata...
Jogoo mmoja nchini Ufaransa aliyepewa jina la ‘Maurice’ aliburuzwa Mahakamani kutokana na kusababisha kelele wakati wa usiku jambo ambalo lilipelekea baadhi ya maj...