Moja ya nguo ambayo ilizua mjadala nchini Marekni ni gauni hiyo unayoiona kwenye video ambapo watu mbalimbali walikuwa wakibishana kuhusiana na rangi halisi ya gauni hilo.Hata...
Mwanamuziki Chris Brown na msanii mwenzie Kehlan wamezua gumzo mitandaoni baada ya kuposti picha wakiwa pamoja ambayo ilitafsiriwa vibaya na mashabiki.Kupitia ukurasa wa Insta...
Mwanamuziki kutoka Marekani Card B ametunukiwa tuzo ya muhamasishaji bora mitandaoni katika usiku wa tuzo za ‘Hollywood Unlocked Impact Awards’ zilizotolewa siku y...
Mwigizaji wa Bongo movie #KajalaMasanja amewatolea povu watu wanaofuatilia na kutaka kumuharibia jina lake amedai kuwa maisha ni yake ila mazishi ni yao.
Kajala ameyasema hayo...
Klabu ya Simba ndiyo yenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii kwa upande wa Afrika Mashariki.
Timu hiyo inakaribia wafuasi milioni 11, kupitia kurasa zake za mitandao ya...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Chris Brown amedaiwa kuwa alinunua viti vyote vya mbele kwenye moja ya show ya hasimu wake Quavo ili msanii huyo aonekane hajaj...
Mama watoto wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Ne-Yo anayefahamika kwa jina la Big Sade amemfananisha msanii huyo na Diddy kwa kumuita 'Diddy Junior'.
Kwa mujibu wa Tmz Ne...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Brazil aitwaye, Érika de Souza Vieira ameshikiliwa na polisi baada ya kupeleka maiti ya mjomba wake Paulo Roberto Braga (68) benki ili kwen...
‘Roboti’ wa kwanza wa kiume kuzinduliwa nchini Saudi Arabia aitwaye Muhammad azua gumzo kupitia mitandao ya kijamii baada ya kumpapasa ripota wa kike wa runinga ya...
Baada ya ugawaji wa Tuzo kubwa za Grammy kuwatosa Ma-staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, mashabiki kutoka nchini humo wamechukizwa na kitendo hicho na kuamua kui-report 'aka...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya #Meta, #MarkZuckerberg ameomba radhi kwa familia zinazodai watoto wao waliathiriwa na maudhui ya mitandao ya kijamii.
Zuckerberg ambaye anami...
Mwanamuziki Chris Brown amewajia juu mashabiki ambao wamekuwa wakihoji kupitia mitandao ya kijamii baada ya kumuona akiwa amekaa pamoja na #Quavo katika onesho la ‘Fashi...
Mshitakiwa aliyetambulika kwa jina la #DeobraRedden mwenye umri wa miaka 30, amemshambulia Jaji Mary Kay Holthus wakati akisomewa hukumu yake siku ya jana Jumatano.
Video zili...