Mwanamuziki anyeupiga mwigi ndani na nje ya nchi Diamond ameendelea kuonesha ukumbwa wake kwenye reality show ya ‘Young, Famous & African’ baada ya video zake ...
Filamu ya Squid Game msimu wa pili inayooneshwa kupitia Netflix imeendelea kukusanya rekodi na sasa imetajwa kuwa ndio filamu iliyofuatiliwa zaidi na watu wasiotumia lugha ya ...
Baada ya filamu ya Squid Game Msimu wa 2 kufanya vizuri na kupata rekodi za kutosha, hatimaye wasambazaji wa filamu hiyo Netflix wametangaza tarehe rasmi ya kuachia filamu hiy...
Baada ya Mfululizo wa msimu wa pili wa Squid Game kufanya vizuri mara tu baada ya kuachiwa, wasambazaji wakuu wa filamu hiyo Netflix wametangaza ujio wa Msimu wa 3 utakaotoka ...
Mshambuliaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #MarcusRashford ameripotiwa kuweka wazi mipango yake baada ya kuwepo kwa tetesi za kuondoka katika ‘timu’...
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Saido Ntibanzokiza amepewa mkono wa kwaheri baada ya kuwatumikia wekundu hao wa Msimbazi kwa misimu miwili.
Saido ameondoka Simba akiwa ndiye kin...
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, viwanja vitakavyotumika kwa michuano hiyo vitafungwa teknolojia inayomsaidia mwamuzi kufanya m...
Mwanasoka wa zamani #JamieCarragher amemtaja kocha wa ‘klabu’ ya #AstonVilla, #UnaiEmery kuwa ndiye kocha bora zaidi katika msimu huu kwenye ‘ligi kuu ya #En...
Imeripotiwa kuwa mshambuliaji wa klabu ya #ManchesterUnited Marcus Rashford, hana mpango wa kutaka kuondoka katika kikosi hicho msimu ujao na amedai kuwa atapinga endapo itato...
Kipa wa zamani wa klabu ya Manchester United, David de Gea mwenye umri wa miaka 33, amerejea kwenye uwanja wa mazoezi kujifua upya baada ya kuwa nje ya uwanja kwa mwaka mmoja....
Mabosi wa klabu ya #ManchesterCity wameanza kutafuta ‘kocha’ mwingine baada ya mkataba wa kocha’ #PepGuardiola kuelekea ukingoni klabuni hapo.
Awali iliripot...
Imeripotiwa kuwa viongozi wa ‘klabu’ ya #PSG wametua nchini Italia kuitafuta saini ya mshambuliaji wa ‘klabu’ ya #InterMilan, #MarcusThuram kuziba peng...