30
Mtoto wa Rais wa Uganda akoshwa na Ayra Starr
Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Muhozi Kainerugaba amezua gumzo mtandaoni baada ya kuonesha kuvutiwa na mwanamuziki kutokea Nigeria Ayra Starr.Kupitia mtandao wake wa...
24
Rais Museveni ampeleka Chameleone Marekani kutibiwa
Nyota wa muziki Uganda Joseph Mayanja 'Jose Chameleone' ambaye kwa sasa anasumbuliwa na maradhi ya kongosho, jana Desemba 23, 2024, alitolewa kwenye hospitali ya Nakasero jiji...
09
Atakaye oa kwa Rais Museveni analipiwa mahari
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema huwa anakataa kupokea mahari kwa ajili ya binti zake, badala yake hulipa mahari kwa familia za vijana wa kiume wanaooa kwake.Hii ni kin...
12
Museveni ajitenga na uvumi wa kifo chake
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameweka ujumbe kwenye mtandao wa Twitter na kusema kuwa bado anajitenga kufuatia uvumi wa mitandao ya kijamii kwamba amefariki kutokana na Covid...
08
Museveni akutwa na Corona
Wizara ya Afya kutoka nchini Uganda imeeleza kuwa rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni akutwa na maambukizi ya Uviko-19 ambapo alianza kupata dalili za homa na mafua makali ingaw...
16
Mtoto wa museveni atangaza nia ya urais 2026
Mtoto wa rais wa Uganda Yoweri Museveni, Muhoozi Kainerugaba ambaye ni Jenerali wa Jeshi, kupitia ukurasa wake wa Twitter  amethibitisha kugombea kiti cha Urais wa N...
13
Chuo kikuu Uganda chapiga marufuku kamera katika mahafali
Chuo kikuu cha Makerere nchini Uganda kimepiga marufuku wanaohudhuria sherehe za kuhitimu kubeba simu, kamera za video, kwa mujibu wa taarifa. Chuo hicho kitafanya sherehe leo...
19
Museveni aonya mapenzi ya jinsia moja
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amewaonya wananchi wake dhidi ya kampeni zinazounga mkono haki za wapenzi wa jinsia moja akieleza kuwa jambo hilo ni haramu nchini humo. Mwaka 2...
16
Museveni: Wabunge wapigwe marufuku kusafiri nje ya nchi
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametoa wito mwishoni mwa wiki wa kupiga marufuku safari za nje ya nchi kwa Wabunge na watumishi wa umma ili kuokoa fedha kwa mambo mengine yenye...
13
Museveni asimamisha kazi za waganga wa kienyeji
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameamuru waganga wa kienyeji kuacha kuwatibu watu, katika juhudi za kupambana na kusambaa kwa ugonjwa wa Ebola. Watu 19 wamekwisha kufa kutokana...

Latest Post