Msanii wa Hip Hop Bongo, Nay wa Mitego alikuja na mtindo wa aina yake kwenye muziki kwa kukosoa wasanii wengine na baadhi ya mambo kwenye tasnia jambo lililompatia umaarufu ku...
2024 ni mwaka ambao zimeachiwa albamu nyingi kutoka kwa wasanii wa Hip-hop nchini ikiwemo albamu ya Mbuzi kutoka kwa Young Lunya ambayo ilitoka rasmi June 28, 2024 ikiwa imesh...
Rio de Janeiro jaji kutokea nchini Brazil, ameamuru kufutwa kwa wimbo wa 'Million Years Ago' wa mwimbaji wa Uingereza Adele kutokana na madai ya wizi wa kazi hiyo kutoka kwa m...
Diamond ambaye ni mwanamuziki anayetamba na kibao cha ‘Komasava’ kilichotazamwa zaidi ya mara milioni 31 kwenye mtandao wa YouTube amedai lebo inayotamba Afrika ya...
Na Asma HamisMsanii wa Nigeria na mmiliki wa label ya ‘2nite Entertainment’ Mr. Flavour ameungana na wasanii wengine kama Diamond na Burna baada ya kusaini mkataba...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Lady Jaydee ‘Jide’ ameendelea kuvuka mipaka sasa amesaini mkataba na lebo ya Kimataifa ya muziki ya ‘Universal Music East A...
Mwanamuziki wa Marekani Kendrick Lamar ametajwa kuwa rapa bora wa mwaka 2024.Kupitia mtandao wa kuuza muziki ‘Apple Music’ Lamar ametajwa kuwa ndio rapa mwenye ush...
Mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini Joel Lwaga ameendelea kuonesha ubabe wake kwenye mtandao wa kusikiliza muziki wa Apple Music kwa kuendelea kushika namba moja kwa wiki t...
Mwanamuziki kutoka Nigeria Davido ametangaza kutokuwepo kwenye usiku wa Tuzo za Earth Prize zinazotarajiwa kufanyika leo Capetown nchini Africa Kusini, huku akitaja sababu kuw...
Mwimbaji wa Afrika Kusini, Tyla, 22, hivi karibuni ameshinda tuzo ya MTV Video Music Awards (VMAs) 2024, mafanikio haya ni somo lingine kwa staa wa Bongofleva, Diamond Platnum...
Mwanamuziki Ali Saleh Kiba, maarufu Alikiba amefunguka kuhusiana na plani zake za kuupeleka muziki wake Kimataifa kama wasanii wengine kwa kuweka wazi kuwa anamipango wa kufan...
Mixtape ya marehemu mkali wa Hip Hop kutoka Marekani Rich Homie Quan iitwayo ‘I Promise I Will Never Stop Going In’ imeripotiwa kushika namba moja kwenye mtandao w...
Mwanamuziki nyota wa muziki wa dansi, anayemiliki bendi ya Bogoss Musica, Nyoshi El Saadat amewashauri wasanii wa Bongo Fleva kujikita zaidi katika kuimba muziki wa mubashara ...