Mfanyabiashara na mmiliki wa kampuni ya mavazi ya SKIMS, Kim Kardashian ametangaza kutoa msada wa mavazi na vitu vingine kwa familia zilizoathiriwa na moto katika Milima ya Ho...
Kuna methali isemayo mdharau mwiba mguu huota tende msemo huu umesadiki katika baadhi ya biashara ambazo watu wengi wamekuwa wakizichukulia poa lakini ndiyo hizo hizo ambazo z...
Mwigizaji kutoka Marekani Channing Tatum amefunguka kuwa aliwahi kununua mashati kwa mwaka mzima kutokana na kuchukia kufua.Channing Tatum ameyasema hayo wakati alipokuwa kwen...
Waswahili wanasema ‘Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni’ msemo huu unatupeleka moja kwa moja kwa mwanamama Hetty Green, mwanamke ambaye ameishi akivaa nguo ya...
Rapper kutoka Marekani #MeganTheeStallion ametangaza ujio wa album yake mpya iitwayo ‘Megani’ inayotarajiwa kutoa siku ya kesho Ijumaa June 28, 2024.
Megan amethib...
‘Rapa’ kutoka Marekani, #JaRule amewakosoa wanaume wanaopendelea kuvaa jeans zilizochanika huku akidai kuwa ni mtindo wa zamani.
Kwa mujibu wa tovuti ya Daily Mail...
I hope mko pouwa watu wangu wa nguvu, leo katika segment ya Kazi tumekusogezea kitu ambacho kitakusaidia wewe unayehangaika kila ifikapo asubuhi wakati wa kwenda kazini kwa ku...
Nguo za mtumba ni nguo ambazo zimekuwa kizipendwa na kuvaliwa na watu wengi kutokana na utofauti wake, yaani ni nadra sana kukuta nguo hizo zilizofanana. Huku sababu nyingine ...
Na Asha Charles
Kawaida fashion hubebwa na muoneano, kuanzia juu mpaka chini yaani mavazi, nywele, viatu na hata harufu ya muhusika. Wapo ambao hujikuta wakiharibu muonekano w...
Haya ndiyo magauni yenye gharama zaidi duniani. Vipi unaweza kununua au tukuache na nguo zako za kariakoo?
1.Nightingale ya Kuala Lumpur yenye gharama ya dola 30 milioni sawa ...
Kuna msemo usemao kila kitu kina umuhimu wake hata kama chazamani msemo huu umejidhihirisha kutoka katika kampuni ya ‘Fab Bricks’ ambapo wamekuwa wakitumia nguo ch...
‘Timu’ ya wafanyakazi katika kampuni ya mwanamuziki Kanye West, Ye’s imeripoti kuwa zaidi ya nguo zenye thamani ya dola 1 milioni zimeibiwa kwenye ghala la n...
Kitamba cha aliyekuwa mwanamuziki wa Pop nchini Marekani #JimiHendrix ambacho alitumia kukivaa kichwani katika maonesho mbalimbali miaka ya 1960 chapigwa mnada wa tsh 100 mili...