08
Fresh Boys Watamani Kujisimamia
Kawanda cha muziki wa Hip-hop nchini kimebarikiwa kuwa na wasanii wengi wanaofanya kazi kwa kujitegemea. Lakini pia kuna makundi kadhaa ya muziki huo ambayo yamekuwa yakifanya...
07
Kwanini Tupac Hajawahi Kushinda Grammy
Marehemu Tupac Shakur ni moja kati ya wasanii maarufu wa hip-hop duniani waliofanya makubwa katika tasnia ya muziki. Lakini licha ya umaarufu wake na mafanikio kedekede msanii...
10
Kanye West atangaza kustaafu muziki
Mwanamuziki wa hip-hop kutoka nchini Marekani, Kanye West ametangaza kustaafu muziki huku akidai kuwa hana uhakika wa kufanya kitu kingine kinachohusiana na muziki. Kanye mwen...
02
50 Cent amcheka Rick Ross baada ya kushambuliwa Canada
Mkali wa Hip-hop Marekani 50 Cent, aonekana kufurahishwa na video inayosambaa mitandaoni ikimuonesha ‘rapa’ Rick Ross akishambuliwa nchini Canada. Kupitia ukurasa ...
02
R. Kelly amkingia kifua Diddy
Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Marekani, R. Kelly ambaye anatumikia kifungo cha miaka 31 gerezani kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono, amewaonya wale wote ambao wanamdhiha...
02
Ray C awapa funzo wasanii Bongo
Mwanamziki Rehema Chalamila, maarufu kama Ray C ametoa fuzo kwa wasanii nchini Tanzania, kudumisha upendo ili kazi zao ziweze kufanya vizuri zaidi. Kupitia ukurasa wake wa mta...
01
Pisi kali zinataka nini
Yaani hazieleweki zinataka nini au zinataka mwanaume wa aina gani. Mambo ya siksi paki, sijui urefu, sijui ujentlomani, sijui manini nini sijui. Tunawaka rasmi sasa msimamieni...
15
Nini kinaendelea kati ya harmonize, Poshy
Baada ya msanii Harmonize na mpenzi wake Poshy Queen kuonekana wakipata dinner pamoja usiku wa kuamkia leo katika siku ya Wapendanao, wawili hao wamezua sintofahamu kupitia ku...
05
Drake hatoimba tena wimbo aliofanya na Rihanna
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, #Drake akiwa katika onesho lake la ‘Its All a Blur- Big as the What’ siku ya Jumamosi nchini humo aliwaeleza mashabiki w...
10
Unafahamu nini kuhusu akili bandia (AI)
Inawezekana hivi karibuni ukawa umesikia sana kuhusu kitu kinachoitwa AI kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye ofisi, mitaani na hata kwenye mitandao ya kijamii. Swali kubwa...
14
Rapa Flocka amfananinisha Doja Cat na Madonna
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Waka Flocka amedai kuwa mwanamuziki Doja Cat ndiye Madonna wa zama hizi akimaanisha kuwa maisha anayoishi ‘rapa’ Doja ndi...
10
Robo fainali ya Simba ipo hapa
Baada ya ‘klabu’ ya Simba kupoteza point mbele ya ‘klabu’ ya #WydadCasablanca jana nchini Morocco kwa bao 1-0, sasa ‘klabu hiyo inahitaji kushind...
13
Fahamu kuhusu wito
Ni matumaini yangu wazima wa afya kabisa, nafikiri katika pita pita zako umewahi kukutana na neno hili ‘Wito’ huku wengine wakitoa mfano kuwa uwalimu ni wito japo ...
23
AFL sheria ya bao la ugenini ipo palepale
Kwa mujibu wa kanuni za mashindano ya African Football league (AFL) kuelekea mchezo wa kesho kati ya Al Ahly dhidi ya Simba lile bao la ugenini lipo. Kanuni ya 15 kifungu kido...

Latest Post