Idadi ya watu wanaotumia vipodozi hapa nchini ni kubwa hasa kwa wanawake. Hata hivyo, wanaume nao baadhi wamekuwa wakitumia kwa ajili ya kujiweka katika hali nzuri kimwonekano...
Mwanamuziki nyota wa muziki wa dansi, anayemiliki bendi ya Bogoss Musica, Nyoshi El Saadat amewashauri wasanii wa Bongo Fleva kujikita zaidi katika kuimba muziki wa mubashara ...