Naibu Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ amesema kuwa katika kipindi cha Septemba 2023 hadi Novemba 2024 COSOTA kwa kushir...
Kufuatia mvutano wa kugombania msemo unaofanania na "Kuchekacheka tu kuoga aaah" kati ya wachekeshaji Shafii Brand na Steve Moses 'Stive Mweusi', Ofisa Usajili kutoka Wakala w...
Mfanyabiashara kutoka nchini Marekani Kim Kardashian ameonesha sehemu mbalimbali za ofisi yake, ambapo moja ya kitu anachokithamani ni mdoli (mannequin) aliyetengenezwa kwa vi...
Afisa habari wa ‘Klabu’ ya #Simba, #AhmedAlly ameeleza kuwa Tuzo ya mashabiki bora wa #AFL haitakaa kwenye ofisi za ‘Klabu’ hiyo bali itakuwa ikitembea...
Baada ya wasanii mbalimbali kujitokeza Baraza la Sanaa Taifa, (BASATA) kufuata muongozo wa maadili katika kazi ya Sanaa msanii Nay wa Mitego amefika katika baraza hilo na kuch...
Na Aisha Lungato
Another week, another day tunakutana tena katika jarida letu pendwa na mwendo ni uleule kujuzana mambo mbalimbali kuhusu kazi, na kama mwezi huu nimewa...
It’s furaidayyy!! I hope uko poa mwanangu sana kama kawaida sisi nia na dhumuni letu kukupasha yale yote unayoyasikia na unayo yajua kwa uchache katika uwanja wa fashion...
Mwanaume mmoja kutoka nchini China ambae hakufahamika jina lake, picha zake zimesambaa mtandaoni zikimuonyesha akiwa amepiga magoti kwenye mvua nje ya ofisi ya ex wake a...
Eiwaaaah !!!its Friday day bwana kama kawaida karibu kwenye ukurasa wa fashion, sehemu pekee ambayo inakuongoza vyema kabisa kuhusiana na masuala muonekano wako.
Nikuweke baya...