Mkali wa R&B kutoka Marekani Usher Raymond ametangaza kuachia filamu ya matamasha yake nane aliyoyafanya jijini Paris,Ufaransa mwaka jana.Usher ameyasema hayo katika taari...
Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Canada, Celine Dion ameripotiwa kutumbuiza katika sherehe za ufunguzi wa michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 licha ya kuwa na ugonjwa wa ...
Mkali wa afrobeat kutoka Nigeria, Burna Boy amedai kuwa ngoma yake ijayo ndio itakuwa ngoma bora kushinda ngoma zote zilizotoka mwaka huu.
Mwanamuziki huyo ameyasema hayo kwen...
‘Straika’ wa Napoli na Nigeria Victor Osimhen, 25, amepanga kukataa ‘ofa’ za Paris St-Germain na Saudi Arabia ili ajiunge na Chelsea katika dirisha lij...
Nyota wa ‘timu’ ya Taifa ya Ufaransa ambaye anajiandaa kuondoka katika ‘klabu’ ya Paris Saint-Germain (PSG) Kylian Mbappe amelikubali sanamu lake lilil...
Polisi nchini #China wamezindua kifaa aina ya roboti ambacho kinauwezo wa kuhamisha magari yaliyoegeshwa vibaya.Kifaa hicho ambacho kilipewa jina la ‘#Valet’ kinau...
Mchezaji wa Paris Saint-Germain, Kylian Mbappe ameripotiwa kumshtaki mmiliki wa duka linalouza kababu huko Ufaransa baada ya kutumia jina lake kwenye kutangaza biashara yake h...
Chapa maarufu kutoka Paris ‘Fashion house Coperni’ imeripotiwa kutengeneza pochi nyepesi zaidi duniani ambayo inauzito wa gramu 33, iliyooneshwa kwa mara ya kwanza...
Akiwa anaendelea na ziara yake kwa ajili ya kufanya kazi na wasanii mbalimbali, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rayvanny ametoa shukurani zake za dhati kwa wasanii kutoka katika m...
‘Rapa’’ Kanye West amewataka waandishi wa udaku (mapaparazi) wampumzishe maana anashindwa ku-enjoy na kula bata jijini Paris kutokana na kumuandama kwa kumfu...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Paris Saint-Germain (PSG) Kylian Mbappe ametangaza kuondoka katika ‘timu’ hiyo ifikapo mwezi Julai baada ya mkataba wake kuisha....
Ikiwa ni kawaida kutoka katika jumba la makumbusho la Grevin Paris nchini Ufaransa kuweka sanamu za watu maarufu mbali mbali, kwa mwaka huu imekua tofauti baada ya mashabiki k...
Waziri wa Elimu nchini Ufaransa, Gabriel Attal jana Ijumaa Oktoba 6, 2023, ametangaza kuwa nchi hiyo imelazimika kufunga shule saba ambazo kwa ujumla hupokea wanafunzi 1,500 b...