Kwa mujibu wa utafiti uliyochapishwa katika tovuti ya ‘Research Gate’ umebaini kuwa watu wanaotembea haraka wanaviwango vya chini vya furaha.Hata hivyo kulingana n...
Asma HamisMwanaume mmoja kutoka nchini Saudia aliyefahamika kwa jina la Abu Abdullah (63) amedaiwa kuoa mara 53 kwa kipindi cha miaka 43 kumtafuta mwanamke atakaeweza kumpa ut...
Baada ya mashabiki kukerwa na Usher kuhusiana na tamko lake la kuhairisha show kwa lengo la kupumzika, hatimaye msanii huyo amefunguka sababu kuu iliyomfanya ahairishe show hi...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Chuo Kikuu cha Kansas unaeleza kuwa wanandoa ambao hawajihusishi sana na mitandao ya kijamii huwa na furaha zaidi kuliko wanaojihusisha na...
‘Kocha’ wa #ManchesterCity, #PepGuardiola amedokeza kuwa mchezaji wao #KyleWalker anaweza kurudi uwanjani kwa ajili ya mchezo wao wa ‘ligi ya Mabingwa ...
Mwanamke mmoja kutoka Utah nchini Marekani aitwaye Daniella amerudisha tabasamu kwa binti yake wa miaka saba aitwaye Gianessa Wride baada ya kubuni njia inayoweza kuwa mbadala...
Manchester United huenda ikamkosa beki wake wa kushoto, Luke Shaw hadi mwisho wa msimu kutokana na majeraha ya misuli. Shaw alipata majeraha hayo kwenye ‘mechi’ dh...
Kutokana na kuwepo kwa mpango wa kutengenezwa filamu ya mfalme wa Pop Michael Jackson (MJ) huku akisakwa mtu ambaye atafanana na kuwa na miondoko kama msanii huyo, hatim...
Mwanariadha wa mbio ndefu kutoka nchini Kenya, Kelvin Kiptum na ‘kocha’ wake raia wa Rwanda, Garvais Hakizimana wamefariki dunia kwa ajali ya gari, jana Jumapili k...
Kutokana na baadhi ya mashabiki kutoka nchini #Nigeria kuumizwa na kitendo cha mastaa wao kutopokea tuzo yoyote ya #Grammy, mtangazaji Zamaradi Mketema ameyatoa ya moyoni huku...
Furaha ndiyo kila kitu kwa maisha ya mwanadamu. Tunatafuta pesa ili kujenga furaha. Tunataka uongozi bora ili tuwe na furaha. Tunaoa, kuolewa na watu sahihi ili tuishi kwa fur...
Mhandisi wa programu wa #Tesla kutoka nchini Marekani mbaye jina lake halijawekwa wazi amepata majeraha mkononi na mgongoni baada ya kushambuliwa na ‘roboti’ kweny...
Baada ya #Yanga kula kichapo cha mabao 3-0 dhidi #Belouizdad usiku wa kuamkia leo kwenye ‘mechi’ ya kwanza ‘Ligi’ ya Mabingwa Afrika mashabiki wa #Simb...