Uhusiano wa mwimbaji wa Pop Marekani, Katy Perry, 40, na mchumbaji wake, Orlando Bloom, 48, ambaye ni mwingizaji wa Uingereza unatajwa kukalia kuti kuvu huku kisirani cha mrem...
Kampuni ya Apple imetoa mwongozo mpya wa usalama ukionya wamiliki wa iPhone kuepuka kuchaji simu zao kwenye mashuka, mito na godoro (kitandani).Kwa mujibu wa Apple, betri za s...
Mtayarishaji na Muongozaji wa Tamthilia inayofanya vizuri katika mtandao wa YouTube ya ‘Dunia’ Issa Madinga maarufu Baba Asma ameweka wazi kukataa mapendekezo kadh...
Filamu 68 zitachuana kuwania tuzo katika Tamasha la 28 la Kimataifa la Filamu (ZIFF) linalotarajiwa kuanza kufanyika Juni 25 hadi 29, 2025.Filamu hizo zilizochaguliwa ni kati ...
Kampuni ya Recording Academy ambao ni wagawaji wa tuzo za Grammys wametangaza mabadiliko katika tuzo hizo kwa mwaka 2026 ambapo watagawanya tuzo ya ‘Best Country Album&r...
Wakati wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiwa wametulia usiku majumbani kwao wakitumia muda huo kupumzika, kwa upande wa mwanamuziki Mbosso usiku wa kuamkia leo Juni 13,2025 u...
Msanii wa Hip-hop nchini, Moni Centrozone amewekawazi sababu inayopelekea kundi lao la MOCO lisiwe na mfululizo mzuri wa kuachia nyimbo.Hii ni kufuatia kutokuwepo kwa mfululiz...
Meneja Msaidizi wa Dj Mushizo, Ally Masupu amesema chanzo cha moto kilichosababisha msanii huyo kupata ajali ya moto ni shoti ya umeme.Mashizo alikumbwa na ajali hiyo jana saa...
Jina la Taylor Terry huenda si maarufu kwa watu wasiopendelea mitandao ya kijamii, lakini katika ulimwengu wa TikTok mwanadada huyo amekuwa akifuatiliwa zaidi kupitia video za...
Kundi maarufu la muziki wa Bongo Fleva nchini, Mabantu ambao kwa sasa wanatamba na ngoma ya ‘Vibaya’ waliyoshirikishwa na msanii wa Singeli Dogo Elisha, wameweka w...
Mwanamuziki kutoka Marekani, Chris Brown ‘Breezy’ ameweka wazi kuwa maisha ya umaarufu yamekuwa na athari kubwa katika afya yake ya akili, huku akieleza kuwa kuna ...
Rapa na mjasiriamali wa mitindo, Kanye West, ambaye anafahamika pia kama 'Ye' amebadilisha tena jina lake na sasa anatambulika kama 'Ye Ye' ikiwa ni miaka ...