Hit Maker wa 'Kautaka', Jaivah ameweka wazi kuwa, kutokana na thamani yake kupanda kwa sasa hafanyi shoo chini ya shilingi milioni 50 lakini itategemea na mazungumzo na makuba...
Ikiwa leo ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa ya mwanamuziki Marioo, mzazi mwezie na mfanyabiashara Paula Kajala amempatia maua yake mpenzi wake huyo huku akiweka wazi kuwa amefa...
Mwandishi wa filamu kutoka Marekani Robert Eggers, ameimwagia sifa filamu ambayo inatizamwa zaidi katika kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka kwa kuitaja kuwa filamu bora ya...
Mtayarishaji wa video za muziki nchini Hanscana ammmwagia sifa msanii Diamon kwa kuipigani tasnia ya muziki wa Bongo.Wakati akimtakia kheri katika siku yake ya kuzaliwa Hansca...
Na Aisha Charles
Safari moja huanzisha nyingine, ndivyo ilivyo kwa mchezaji dansi Set Fibby, maarufu kama Mrs Energy, baada ya kuamua kujikita katika muziki wa Bongo Fleva, ha...
Baada ya mwanamuziki wa Marekani Chris Brown ku-share video kupitia mtandao wake wa TikTok akicheza ngoma ya ‘Komasava’ ya Diamond, msanii Zuchu amemwagia sifa Sim...
‘Rapa’ kutoka Marekani 50 Cent amemshitaki mpenzi wake wa zamani aitwaye Daphne Joy kwa kumshutumu hadharani kuwa aliwahi kumfanyia unyanyasaji wa kimwili.
Kwa muj...
Mwanamuziki na mtangazaji #BabaLevo ammwagia sifa #DiamondPlatnumz Kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-share video ya nyota huyo wakati anatumbuiza na kuandika ujimbe akisem...
Muigizaji wa #BongoMovie #ElizabethiMichel maarufu kama #Lulu ameeleza kuwa mtu asitamani kuwa chawa wake kwa sababu anavisirani sana kwa hiyo kazi ya chawa itakuwa ngumu kwak...
Usiku wa kuamkia leo mchezaji wa Yanga, Skudu Makudubela amewasili Tanzania kwa ajili ya kuendelea na majukumu yake Aidha mchezaji huyo alikuwa amesema anashauku kubwa ya kuji...
Kama ilivyo kawaida ya msanii wa #HipHop #Wakazi kutofumbia macho japo likimfurahisha au likimkwaza, awamu hii aibuka kwa kummwagia sifa Harmonize kutokana na kufurahishwa na ...
Aliyewahi kuwa msemaji wa ‘klabu’ ya Yanga #HajiManara amemmwagia sifa ‘staa’ wa #BongoMovie Kajala kwa jitihada za kufanya mazoezi na kujali afya yake...
Baada ya #Yanga kuibuka kidedea siku ya jana kwa kuitandika #Kaizerchief 'goli' moja, kwenye uwanja wa Mkapa, ambapo 'klabu' hiyo ilikuwa ikisherekea siku ya #Wana...