27
Kuwa makini na utapeli wa aina hii chuoni
Na Michael OneshaNiaje niaje watu wangu wa nguvu, leo ndani ya unicorner nimekusogezea mada ambayo inakuamsha wewe mwanafunzi wa chuo ambaye bado umeamua kukumbatia matatizo y...
04
Dada atapeliwa na Elon Musk feki
Mwanamke mmoja kutoka nchini Korea Kusini aliyejulikana kwa jina la Jeong Ji-sun, ametapeliwa kiasi cha dola 50,000 ikiwa ni zaidi ya Sh 129 milioni na mtu alitumia Akili Band...
09
Mfahamu tapeli aliyeuza uwanja wa ndege
Emmanuel Nwude ni mmoja kati ya watu waliaondika historia kubwa nchini Nigeria kwenye masuala ya utepeli. Taarifa kutoka Daily zinaeleza kwamba Nwude ambaye aliwahi kuwa mkuru...
21
Mzava ajibu tuhuma za kumtapeli Kayumba sh 7 milioni
Muongozaji video, Erick Mzava amekanusha madai ya kumtapeli mwanamuzi Kayumba akisema amesharudisha sehemu ya fedha kiasi cha Shilingi 7 milioni ambazo alipewa kwa ajili ya ku...
06
Lukamba adai kuibiwa milioni 200
Mwanamuziki wa #BongoFleva, #Lukamba ameeleza sababu ya kukaa kimya bila kutoa wimbo amesema kuwa ametapeliwa tsh 200 milioni. Lukamba kupitia #Instastory yake ameandika ujumb...
27
BOw WOw adaiwa kumtapeli mtoto wa miaka 10
Rapper kutoka nchini Marekani Bow Wow ameshitakiwa kwa madai ya kutotimiza ahadi ya ‘kolabo’ licha ya kulipwa mamilioni ya pesa kwajili ya kufanya wimbo wa pamoja ...
31
Nandy akanusha kuwa na Supermarket
Mwanamuziki, The African Princess, Nandy amlilia Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye baada ya watu wasio waaminifu kutumia jina lake kutapeli um...
08
Tapeli maarufu mtandaoni Hushpuppi ahukumiwa kifungo cha zaidi ya miaka 11
Tajiri na tapeli maarufu mtandaoni Hush Puppi kutoka nchini Nigeria amehukumiwa kifungo cha zaidi ya miaka 11 nchini Marekani kwa ...
19
Hushpuppi atapeli Milioni 926 akiwa jela
Unaambiwa kwamba Ramon Abbas maarufu kama Hushpuppi amefunguliwa mashtaka mengine mapya ya utakatishaji fedha baada ya kufanya utapeli wa $400,000 sawa na Tsh million 926 akiw...
04
Vijana watakiwa kuwa makini na matapeli watumiapo mitandao ya kijamii, mifumo ya kidijitali
Vijana nchini wametakiwa kuwa makini na matapeli pindi wanapotumia mitandao au mifumo ya kidijitali kutafuta kazi, biashara ili ku...

Latest Post