Mwanamuziki wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma ya Kautaka inayoendelea kufanya vizuri na kupenya kila kona Jaivah ameuanza mwaka kwa kutoa ngoma iitwayo ‘Story’.Ku...
Ni kawaida kuona povu linalofanana na mate kwenye mimea hasa asubuhi au kipindi cha masika. Povu hilo wengi huamini ni mate ya nyoka na kusababisha kuogopa kuyashika.Licha ya ...
Mwigizaji wa Marekani, James Earl Jones ambaye alipata umaarufu kupitia filamu kama ‘Coming to America’ amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 93.Taarifa ya kifo c...
Wakati ‘rapa’ Tory Lanez akiendelea kutumikia kifungo chake baada ya kukutwa na hatia ya kumshambulia kwa bunduki aliyekuwa mpenzi wake Megani, ripoti mpya zinaele...
Mke wa rapa kutoka Marekani Tory Lanez, Raina Chassagne anadaiwa kudai talaka, ikiwa zimebaki siku chache kutimiza mwaka mmoja katika ndoa yao waliyoifunga mwaka 2023.
Kwa muj...
Wakati akiwa katika muendelezo wa ziara yake ya kuzunguka mataifa mbalimbali mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rayvanny akiwa South Africa amekutana na shabiki wa marehemu mwigizaji...
Kila ifikapo tarehe kama ya leo Machi 8, dunia inaadhimisha siku ya wanawake. Wapo baadhi ya watu ambao huitumia siku hii kuwapa zawadi ndugu zao wa kike, wapo wanaoituma kwa ...
Mwanamuziki kutoka nchini Canada #Drake ameonesha ‘sapoti’ yake kwa ‘rapa’ Tory Lanez akitaka aachiwe huru kutoka jela.Kupitia ukurasa wake wa Instagra...
Kwa kawaida ‘dansa’ na mwanamuziki wa #Bongofleva Chino Wanaman sio muongeaji lakini kwa hili ameamua kulia na wasanii ambao hawam-sapoti licha ya kipindi cha nyum...
Baada ya ku-share taarifa kupitia Instastory yake kuhusu kuwa single mwanamuziki Diamond, ametengua kauli hiyo kwa kueleza kuwa hayupo single bado anaendelea kula raha hubani....
Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka nchini #DiamondPlatnumz ameweka wazi kuwa koti alilolivaa katika wimbo wake ‘Tetema’ ndilo hilo hilo alilolivaa kwenye wimbo wa K...
Baada ya kuipeperusha Bendera ya Tanzania katika Tuzo ya #MTVEMA 2023 msanii Diamond ameendelea kuitabiria makubwa Tanzania kwa kudai kuwa soon bendera hiyo itakuwa katika Tuz...
Mwanamuziki wa #BongoFleva, #Lukamba ameeleza sababu ya kukaa kimya bila kutoa wimbo amesema kuwa ametapeliwa tsh 200 milioni.
Lukamba kupitia #Instastory yake ameandika ujumb...