23
Kipotoshi akubali matokeo baada ya kukosa tuzo usiku wa TCA
Usiku wa Tuzo za Tanzania Comedy Award uliofanyika katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Februari 22, 2025. Umejaa hisia tofauti kwani washindi walisherehekea mafanikio yao...
19
Usikurupuke Kuanzisha Biashara, Zingatia Haya
Kutokana na ugumu wa maisha, baadhi ya watu wameamua kujiajiri kwa kufungua biashara mbalimbali zinazoweza kuwaongezea kipato. Kwa kulitambua hilo Mwananchi Scoop tumekusogeze...
03
Ray C awagawa wasanii chipukizi Bongo
Ikiwa imepita siku moja tangu mwanamuziki wa zamani wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anaishi jijini Paris, Ufaransa Rehema Chalamila ‘Ray C’ kuwataka wasanii wenye u...
01
Shilole: Ninafanya makusudi kuongea kingereza
Msanii wa filamu na muziki wa kizazi kipya, Shilole amesema kukosea kwake kuzungumza Kiingereza huwa anafanya makusudi ili watu wacheke. Shilole anayejishughulisha pia na bias...
17
Ronaldo hataki kupigiwa simu usiku
Mchezaji wa ‘klabu’ kutoka Saudi Arabia ya Al-Nassr, Cristiano Ronaldo ameweka wazi kuwa hapendi kuongea na simu ifikapo saa nne au tano usiku huku akitaja sababu ...
11
Mfahamu Jogoo aliyeburuzwa mahakamani kisa kuwika usiku
Jogoo mmoja nchini Ufaransa aliyepewa jina la ‘Maurice’ aliburuzwa Mahakamani kutokana na kusababisha kelele wakati wa usiku jambo ambalo lilipelekea baadhi ya maj...
16
Chino na Marioo wamaliza bifu lao
Baada ya kuripotiwa kuwa na bifu miezi kadhaa iliyopita, hatimaye Chino, Marioo wameonekana pamoja na kumaliza tofauti zao. Wawili hao walionekana pamoja wakitumbuiza nyimbo a...
11
Utafiti: Mitoko ya usiku kwa wanaume inapunguza matatizo ya afya ya akili
Kwa mujibu wa utafiti wa mwanansaikolojia kutoka Chuo Kikuu cha Oxford Dk. Robin Dunbar, unaeleza kuwa mitoko ya usiku ya wanaume ...
24
Hotel yenye gharama, kulala usiku mmoja ni zaidi ya 744 milioni
Kama tunavyojua wapo baadhi ya watu pesa kwao sio kitu, sasa tumeamua kuwasogezea sehemu ambayo wataenda kuenjoy maisha, ambapo ni katika hoteli yenye gharama zaidi duniani il...
20
Abadili ndege kuwa hoteli ya kifahari
Mfanyabiashara maarufu kutoka nchini Urusi ambaye kwasasa anaishi China, Felix Demin (32) ameripotiwa kubadirisha ndege iliyostaafu kufanya shuguli zake za kusafirisha abiria ...
04
Baada ya miaka miwili Bieber aonekana jukwaani
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #JustinBieber amefanya onesho lake la kwanza baada ya miaka miwili kuwa kimya bila kuoneka kwenye majukwaa. Justin alipanda kujwaani usikuwa...
05
Polisi watoa ripoti ajali aliyopata Michael B. Jordan
Kufuatia ajali ya gari aliyopata muigizaji Michael B. Jordan, weekend iliyopita sasa polisi wametoa ripoti kuhusiana na maendeleo ya muigizaji huyo na kueleza kuwa yupo salama...
29
The Mafik warudi tena, Waanza na Mungu
Baada ya ukimya wa miaka minne, hatimaye kundi la muziki The Mafik limerejea rasmi likiwa na wasanii wanne huku watatu wakiwa wapya na msanii #Hamadai pekee ndiye msanii wa za...
12
Harmonize ajibebea tuzo tatu Marekani
Msanii wa muziki nchini #Harmonize ameshinda tuzo tatu nchini #Marekani usiku wa kuamkia leo Harmonize ameshinda tuzo hizo za #AEUSA kwenye vipengele vya Artist of the Year 20...

Latest Post