09
Mambo Ya Kuzingatia Unaporudi Kazini Januari
Kheri ya mwaka mpya!Ni mwanzo wa mwaka 2025, walioajiriwa na wafanyakazi wa sehemu mbalimbali wanarudi kazini baada ya mapumziko ya sikuku za mwisho wa mwaka. Zingatia mambo h...
11
Asap Rock Msanii Aliyevaa Vizuri 2024
Kwa mujibu wa jarida maarufu la fashion na mitindo Marekani 'Complex Style' limemtaja Asap Rock kama rapa ambaye ameongoza kwa kuvaa vizuri mwaka 2024.Rock ambaye pia ni Baby ...
19
Ngoma hizi ziliwatambulisha vizuri wasanii hawa
Tasnia ya muziki wa Bongo Fleva imejaa vipaji vingi kutoka kwa wasanii tofauti tofauti, ambao kila mmoja alifanikiwa kutoka kwa wakati wake. Katika hao wapo ambao walianza muz...
23
Rashford agoma kuondoka Man United
Mshambuliaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #MarcusRashford ameripotiwa kuweka wazi mipango yake baada ya kuwepo kwa tetesi za kuondoka katika ‘timu’...
18
Komasava ya Mondi yamfikia Swae Lee
Wimbo wa mwanamuziki Diamond Platnumz wa ‘Komasava’ aliomshirikisha Chley na Khalil Harrison umeendelea kuupiga mwingi na sasa umemfikia ‘rapa’ wa Mare...
03
Jay Mondy aweka rekodi postiwa na YouTube
Baada ya kusota kwa miaka mingi katika uchekeshaji, sasa tunaweza kusema mchekeshaji na dansa  maarufu nchini Tanzania Jay Mondy amejipata. Hii ni baada ya kupostiwa kwen...
01
Messi azungumzia kustaafu kwake
Licha ya kuwa mchezaji wa Inter Miami Lionel Messi, atafikisha miaka 37 mwezi Juni, amefunguka kuwa atastaafu soka, muda ambao atahisi hawezi tena kufanya vizuri zaidi kwenye ...
21
Nedy Music: Nimejipanga kiushindani 2024
Msanii wa Bongo Fleva, Nedy Music amesema wimbo wake aliomshirikisha Barnaba unaoitwa Mapenzi, umemfungulia njia kwa mwaka 2024. Amesema wimbo huo una ujumbe mzito na tangu au...
14
Mzize siyo kufunga tu, Hadi kuimba anajua
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #Yanga #ClementMzize ameonesha kuwa siyo kupiga chenga na kufunga tuu bali hadi kuimba yuko vizuri, hii inakuja baada ya kuonekana akiimba w...
05
Utafiti: Nusu ya vijana wenye miaka 18 hadi 29 wanaishi kwa wazazi
Kutokana na utafiti uliofanywa mwaka jana  na kituo cha Pew Research, umegundua kuwa karibia nusu ya vijana wote nchini Marekani walio na umri kati ya miaka 18 hadi 29 ba...
29
Nandy kuandikiwa nyimbo, Yupo vizuri!
Kama kuna wasanii wengine wa Bongo Fleva wanaandikiwa nyimbo na kuzitendea haki, basi Nandy ni namba moja, hadi sasa ameandikiwa nyimbo zaidi ya 10 na wasanii wenzake zaidi ya...
27
Pep adai kuwa atalala vizuri baada ya Klopp kusepa
‘Kocha’ mkuu wa ‘klabu’ ya Man city Pep Guardiola ameonesha kufurahi yake kwa kueleza kuwa sasa atapata usingi mzuri baada ya ‘kocha’ wa #L...
16
‘For all the dogs’ yazidi kukimbiza
Album ya mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, #Drake ya ‘For All The Dogs’ imefikisha jumla ya #Streams Bilioni 1 kwenye mtandao wa #Spotify ikiwa ni ndani ya mwez...
15
Burna Boy kuwaweka wanablogu kikaangoni
Ikiwa ni wiki chache tangu mkali wa Afrobeat Burna Boy kutaka kuwalipa pesa waandishi wa blog nchini Nigeria ili waache kuandika habari zake, hatimaye mwanamuziki huyo amedai ...

Latest Post