Rapa kutoka Marekani Drake amewachana watu wake wa karibu waliyomkataa wakati wa bifu lake na msanii mwenzake Kendrick Lamar.Drake amewatolea uvivu watu hao kupitia wimbo aliy...
Kibongo Bongo kuomba chumvi au kiungo chochote wakati wa chakula kwa lengo la kuongeza radha jambo hilo huchukuliwa la kawaida na halina shida yoyote, lakini unapoingia nchini...
Mwanafunzi aliyeacha masomo katika Chuo kikuu cha Harvard aitwaye Avi Schiffmann kwa mara ya kwanza amevumbua kifaa cha akili bandia (AI) kiitwacho ‘Friend’ kwa le...
Na Aisha Charles
Safari moja huanzisha nyingine, ndivyo ilivyo kwa mchezaji dansi Set Fibby, maarufu kama Mrs Energy, baada ya kuamua kujikita katika muziki wa Bongo Fleva, ha...
Wakati baadhi ya wadau wakisubiria mkali wa Hip-hop Diddy akamatwe kufuatia na shutuma zinazomkabili za unyanyasaji wa kingono, sasa msanii huyo ameonekana akiendelea kufurahi...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya PSG Ashraf Hakimi ambaye yupo Tanzania kwa ajili ya mapumziko na kutembelea vivutio mbali mbali vya utalii, kupitia taasisi yake ya ‘A...
Mwanamuziki maarufu nchini Nigeria, #Simi, ametoa sauti yake katika maandamano ya kupinga ongezeko la kodi yanayoendelea nchini Kenya ambapo amedai kuwa inahuzunisha watu kupo...
Mmoja kati ya wamiliki wa klabu ya Inter Miami, #DavidBeckham imeripotiwa kuwa yupo katika mazungumzo na wawakilishi wa beki wa #ManchesterUnited, #RaphaelVarane kwa ajili ya ...
Mwanamuziki kutoka Marekani Usher Raymond ameweka wazi kuwa kila ifikapo siku ya Jumatano huwa hali chakula chochote zaidi ya kunywa maji.
Usher ameyasema hayo wakati alipokuw...
‘Rapa’ mkongwe kutoka nchini Marekani, #FatJoe amedai kuwa #ChrisBrown asingejiingiza kwenye mapenzi angekuwa kwenye kiwango sawa na marehemu #MichaelJackson.
Joe ...
Mwanamuziki wa Nigeria, Ruger amefunguka mtazamo wake kuhusu mahusiano kwa kudai kuwa anaweza kupenda wanawake watano tofauti kwa wakati mmoja.
Ruger ameyasema hay...
Baada ya kuzuka tetesi kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na mwanamuziki kutoka visiwa vya Barbados, Rihanna kutarajia kupata mtoto wa tatu na mpenzi wake A$AP Rocky, msani...