Mwigizaji wa Hong Kong Jackie Chan ametangaza nia ya kuchangia utajiri wake wote, unaokadiriwa kufikia dola 400 milioni 'Sh 966 bilioni', kama msaada kwa watu wenye uhitaji.Mw...
Mwanamuziki wa #BongoFleva, nchini #Whozu ametoa onyo kwa wanao mtongoza mpenzi wake #WemaSepetu kupitia akaunti yake ya Instagram na Snapchat.
Whozu ameyasema hayo kupitia ma...
Ikiwa imepita wiki moja tangu wasanii Mbosso, Billnass na Whozu kufungiwa kujihusisha na kazi za muziki, kutokana na video ya Whozu ‘Ameyatimba’ kuwa na maudhui ya...
Kupitia ukurasa rasmi wa Snapchat, wa The Tanzanian Sweetheart Wema Sepetu ame-share ujumbe ambao umewashitua mashabiki wengi na kuwafanya waulizane kipi kimemkuta mrembo huyo...
Kufuatia na kitendo kilichoteka usiku wa kuamkia jana katika birthday ya Wema, baada ya mama yake, kueleza kuwa anakasirishwa na kitendo cha Whozu kutokufuata taratibu za ndoa...
Muigizaji na mwandishi wa habari Mwijaku ametoa ushauri kwa mwanamuziki Whozu kuwa atafute pesa ili aweze kuheshimiwa ukweni,Hii inakuja baada ya kilichotokea usiku wa kuamkia...
Mwanamuziki wa #BongoFleva #Whozu ameweka hisia zake hadharani kwamba anapendwa sana na mpenzi wake #WemaSepetu amesema endapo akifariki katika wosia wake watu wasisahau kumuo...
Jumatano ya mashambulizi kutoka kwa Kajala na Harmonize, wahenga walisema kuwa mapenzi yakiisha hugeuka kua uadui, wawili hawa ambao wengi walizoea kuwaona kwenye picha ya pam...
Tanzanian Sweetheart, Wema Sepetu amejikuta akishindwa kuzuia hisia baada ya picha na video zake, kusambaa katika mitandao ya kijamii zikimuonesha akiwa na ujauzito.
Wem...
Serikali ya Uganda inapanga kuongeza umri wa unywaji pombe kutoka miaka 18 hadi 21 ili kukabiliana na uraibu, afisa wa Wizara ya Afya ameeleza.
Akizungumza katika Kongamano la...
Nchi ya Marekani na Mexico zimelitaka shirika la Afya Duniani (WHO) kutangaza dharura ya afya ya umma kutokana na mlipuko wa fangasi ya uti wa mgongo unaohusishwa na shughuli ...
Shirika la Afya duniani (WHO) limesema kwamba shehena ya dawa ya kikohozi yenye sumu ya India imepatikana katika visiwa vya Marshall na Micronesia.
WHO ilisema kuwa samp...
Ooooooooh! Waislamu wenyewe wanasema kuwa dini yao haimkatai mtu niwewe tuu kuichangua basi bwana Staa wa muziki whozu ameweka wazi swala la yeye kubadili dini na kuwa mu...
Mark Lewis
Hivi karibuni waziri wa afya, jinsia na ustawi wa jamii, Ummu Mwalimu alithibitisha watu watano kati ya wanane kufariki dunia kutokana na ugonjwa wa virusi vya homa...