Mwigizaji nguli wa Bollywood kutoka India Saif Ali Khan ameripotiwa kufanyiwa upasuaji wa dharura katika Hospitali ya Lilavati jijini Mumbai baada ya kuchomwa kisu na jambazi ...
Wengi wanadhani kuwa watumiaji wa iPhone ni watu wenye fedha na elimu. Licha ya dhana hizo utafiti uliofanyika China ulibaini kuwa mawazo hayo ni tofauti na uhalisia.Utafiti h...
Msanii wa Hip-hop nchini Abdulrazak Selemani ‘Toxic’ wakati akifanya mahojianoa na Mwananchi Scoop, ameweka wazi hisia zake za kimapenzi kwa mwanamuziki Abigail Ch...
Mke na mtoto wa marehemu George Floyd wameripotiwa kutayarisha filamu iitwayo ‘Daddy changed the World’ ya maisha ya mwanaume huyo ambaye aliuwawa na polisi nchini...
Kwa mujibu wa jarida la Essence kutoka nchini Marekani limetoa listi ya mastaa wa kiume wanaovutia zaidi huku mkali wa Afrobeat Burna Boy akitajwa kwenye orodha hiyo.Kwa mujib...
Kuna kitendawili kisemacho nampiga mwanangu nalia mwenyewe, jibu lake kitungu, kitendawili hiki kimetokana na tabia ya tunda hilo ambalo wakati wa kulikata hupelekea mkataji k...
Shirika la Exit International kutoka nchini Marekani ambalo lipo chini ya Dk. Philip Nitschke, maarufu kama ‘Dr. Death’ limevumbua sanduku maalumu la kujiua liitwa...
Mwanamme mmoja kutoka nchini #Brazil, aliyefahamika kwa jina la Magno Sergio Gomes (46) ameripotiwa kufariki baada ya kula samaki mwenye sumu aina na ‘#pufferfish’...
Kwa mujibu wa #NASA ambao wanahusika na masuala ya utafiti wa anga kutoka nchini Marekani kupitia tovuti yao wameeleza kuwa Aprili 8, 2024, Marekani itashuhudia kupatwa kwa ju...
Kama hujawahi kufikiria kuwa kuna mmea wenye muonekano wa midomo ya binadamu, fahamu kuwa mmea huo upo na unafahamika kwa jina la Hooker na kisayansi unaitwa Psychotria elata....
Kila ifikapo Disemba 26, dunia husherehekea sikukuu ya ‘boxing day’ ambayo mara nyingi huenda sambamba na kutoa na kupokea zawadi.
Na huwa inafanyika siku ya pili ...
Mchekeshaji na muandishi wa habari kutoka Afrika Kusini Trevor Noah ameendelea kuupiga mwingi baada ya kuwavutia wengi kupitia mitandao ya kijamii kwa kujaza mashabiki katika ...
‘Klabu’ ya Simba wamefanya jaribio zito la kutaka kumng’oa juu kwa juu kiungo wa Yanga Mkongomani, Maxi Nzengeli ambaye alipiga mabao mawili dhidi ya Simba k...
#Derevataxi mmoja kutoka nchini Afrika Kusini ambaye hajafahamika jina lake amewanyoa nywele wanawake wawili ambao ni abiria wake baada ya kushindwa kumlipa nauli.Tukio hilo a...