Ngoma ya Loyal ya mkali Chris Brown yaibukia kwenye mtandao wa TikTok ambako watu mbalimbali wamekuwa wakitumia kuchapisha video zao.Ngoma hiyo ambayo ilitoka Machi 24, 2014 h...
Binti wa mfalme kutoka Dubai Princess Mahra bint Mohammed bin Rashid Al Maktoum, ameripotiwa kuzindua manukato yaitwayo ‘Divorce’ (Talaka) baada ya kuachana na mum...
Wakati ‘rapa’ Tory Lanez akiendelea kutumikia kifungo chake baada ya kukutwa na hatia ya kumshambulia kwa bunduki aliyekuwa mpenzi wake Megani, ripoti mpya zinaele...
Tetesi zinadai kuwa klabu ya Manchester United wako mbioni kuisaka saini ya beki wa klabu ya Bayern Munich ambaye ni raia wa Uholanzi, Matthijs De Ligt.
Inaelezwa kuwa mchezaj...
Zipo imani nyingi juu ya kutunza sauti kwa ajili ya uimbaji, wapo mwanaodai kuwa mayai na asali ni kati ya vitu muhimu katika kuboresha sauti ili iwe na mvuto.
Sambamba na hay...
‘Klabu’ ya Al-Hilal ipo kwenye mipango ya kumnunua winga wa klabu ya #ManchesterUnited, raia wa Argentina #AlejandroGarnacho, ambaye kwa sasa yupo katika mashindan...
‘Klabu’ ya Manchester United inataka walau asilimia 75 ya kiasi cha pesa ilicholipa kumnunua Jadon Sancho mwaka 2021 ikiwa ‘timu’ yoyote itataka kumsaj...
Mwigizaji Kajala Masanja amemuomba radhi mzazi mwenziye Paul Matthysse maarufu kwa jina la 'P Funk Majani' kutokana na migogoro waliyokuwa wakipitia kwa muda mrefu.
Kajala ame...
Bibi harusi kutoka nchini Mexico aitwaye Nancy N amekamatwa na polisi siku ya harusi yake kwa tuhuma za unyang’anyi.
Nancy N alikamatwa wakati alipokuwa akishuka kwenye ...
Wachezaji na wafanya kazi wa ‘Timu’ ya Taifa #Gambia wakosa hewa walipokuwa kwenye ndege wakielekea Ivory Coast katika mashindano ya AFCON 2023.
Inaelezwa kuwa wac...
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema kuanzia Januari mwaka 2024 watafungua jengo linalohusika na huduma za upandikizaji mi...
‘Klabu’ ya #ChippaUnited ya nchini #AfrikaKusini imefungiwa kusajili wachezaji na Shirikisho la Soka FIFA mpaka itakapomlipa mchezaji raia wa Tanzania #AbdiBanda.
...
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) waifungia kusajili wachezaji ‘klabu’ ambayo ipo katika ‘Ligi’ kuu ya NBC Tabora United, ambayo zamani ...