Kampuni ya uzalishaji na usambazaji wa filamu nchini Marekani ‘Universal Pictures’ imetoa tamko kuhusiana na minong’ono ya mashabiki kupitia mitandao ya kija...
Timu ya mpira wa kikapu kutoka Marekani ‘Los Angeles Lakers’ siku ya Jana Agosti 2, imezindua sanamu la marehemu nguli wa kikapu Kobe Bryant na mwanaye.Kufuatia na...
Ikiwa zimepita siku kadhaa tangu mahakama nchini Afrika Kusini kumtaja mfanyabiashara, Sydney Munda Gcaba kuwa ndiye aliyewalipa Sh 109 milioni watuhumiwa sita wa mauaji ya al...
Kama ilivyokawaida ya mkali wa singeli nchini, Dulla Makabila kushusha jumbe tofauti tofauti katika ukurasa wake wa Instagram huku mara nyingi ukiwa ni wa kuwapa madini mashab...
Watu wengi nchini Japani wameanza kuchukua mafunzo ya jinsi ya kutabasamu upya baada yakuvaa mask (Barakoa) kwa muda mrefu.
Raia hao wamekua wakizoea kuvaa mask kwa muda mrefu...
Ikulu ya Marekani ‘White House’ imesema kuwa Rais Joe Biden yuko sawa baada ya kujikwaa na kuanguka jukwaani alipokuwa kwenye sherehe za kuhitimu Chuo cha Jeshi la...
Kampuni ya Neuralink inayomilikiwa na bilionea Elon Musk imepata kibali cha mamlaka ya chakula na dawa nchini Marekani (FDA) kufanya jaribio la kwanza kwa binadamu baada ya ku...
Shirika la Afya duniani (WHO) limesema kwamba shehena ya dawa ya kikohozi yenye sumu ya India imepatikana katika visiwa vya Marshall na Micronesia.
WHO ilisema kuwa samp...
Madaktari kutoka nchini Kenya wamewataka wananchi kuwa waangalifu kufuatia kugunduliwa kwa aina mbili mpya za magonjwa ya zinaa (STIs).
Wanasayansi katika Taasisi ya Utafiti w...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Uigereza aliefahamika kwa jina la Eleanor Williams aliyetoa madai ya udanganyifu kwamba alibakwa na wanaume wengi na kusafirishwa kiharamu na geng...
Taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imeeleza kuwa mvua kubwa itanyesha kwenye mikoa takribani 15 ambapo baadhi ya maeneo ya Mikoa ya Iringa, Mbeya, Songwe...
Serikali imesema Utafiti wa Watu wenye uwezo wa kufanya Kazi wa Mwaka 2021 unaonesha Vijana wenye umri wa Miaka 15 hadi 35 ambao wana Ukosefu wa ajira ni 1,732,509 sawa na 12%...