Mwanamuziki anayetamba na Album yake ya ‘Peace and Money’ Zuchu ameripotiwa kushika namba moja nchini Zimbabwe kupitia wimbo wake wa Kwikwi.Kupitia tovuti ya iChar...
Muigizaji mashuhuri nchini Marekani Dwayne Johnson maarufu kama The Rock amemnunulia nyumba kama zawadi mpiganaji wa UFC, Themba Gorimbo jijini Miami baada ya kuguswa na stori...
Wanaharakati 39 wa upinzani wanaoshutumiwa kwa kuzua ghasia za kisiasa nchini Zimbabwe wamefunguliwa mashtaka kuhusiana na madai ya kuharibu ofisi ya chama tawala (ZANU-PF) si...
Mtoto wa Kike wa Aliekuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, Bona Ouma Mugabe katika madai ya talaka ametaka kupatiwa hela ya matumizi ya watoto Milioni 6.3 kwa watoto...
Shirika la Afya duniani (WHO) limetaja nchi ambazo zimeathirika na ugonjwa wa kipindupindu, ambapo shirika hilo limesema kuwa ugonjwa huo umeenea duniani kote, haswa barani Af...
Mtoto wa Rais wa zamani Nchini Zimbabwe Robert Mugabe anashikiliwa na polisi katika mji mkuu wa Harare, kwa madai ya kuhusika katika uharibifu wa magari wakati wa tafrija mwis...
Mlipuko wa ugonjwa wa Surua nchini Zimbabwe umesababisha vifo vya watoto 80 tangu mwezi Aprili na mamlaka za nchi hiyo zimesema maradhi hayo yamesambaa kote nchini humo.
Taari...