Mwanamuziki kutoka Bongo ambaye amepokea pongezi nyingi kufuatia na kupiga show kali aliyoifanya katika tamasha la Trace Awards, Harmonize amewatia mkwala watakao fanya fujo k...
Moja ya tukio ambalo limepokea maoni mengi kutoka kwa mashabiki na mastaa katika shamra shamra za ugawaji wa tuzo za Trace ni kuhusiana na mwanamuziki Diamond kusafirisha gari...
Titanic imekuwa filamu ya kifahari kutokana na ubora wa utayarishaji wake, uigizaji, na wimbo wake maarufu, ‘My Heart Will Go On’, ulioimbwa na Céline Dion....
Mwanamuziki Justin Bieber ameendelea kupokea maoni tofauti tofauti kutoka kwa mashabiki huku wakimnanga kufuatia na matendo yake ambayo amekuwa akiyafanya kwa siku za hivi kar...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa uteuzi wa wasanii Hamis Mwinjuma (Mwana FA) na Nickson Simon (Nikki wa Pili) katika nafasi za uongoz...
Ikiwa imepita takribani wiki moja baada ya rapa Asap Rocky kuachiwa huru kufuatia na mashtaka ya shambulio la jinai lililofunguliwa na A$AP Relli (Terell Ephron), sasa inaelez...
Usiku wa kuamkia leo Februari 27,2025 kulikuwa na tamasha kubwa ambalo lilifanyika kwa mara ya kwanzaKatika tuzo hizo ambazo, zilifanyika Zanzibar Kisiwani Unguja mwanamuziki ...
Wakati baadhi ya watu wakificha makabila yao kwa kuhofia aibu zinazotokana na utani wa makabila. Ndugu wawili Leah Ndahani na Pendo Hukwe wao wameamua kutumia lugha ya kabila ...
Mwanamuziki Diamond Platnumz ameiomba Serikali kutengeneza Arena kwa ajili ya matamasha makubwa ya muziki kama Trace.Diamond ameyasema hayo leo Februari 26,2025 wakati akiingi...
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Death Row Records, Suge Knight, amemshtumu Snoop Dogg kwa kujaribu kumdhamini Duane “Keefe D” Davis ambaye ni mtuhumiwa mkuu katik...
Wakati maandalizi ya utolewaji tuzo za Trace yakiendelea kisiwani Zanzibar. Moja ya tukio ambalo limepokea maoni mengi kutoka kwa mashabiki na mastaa ni kuhusiana na mwanamuzi...
Hatimaye mwigizaji Aaron Pierre amefunguka kuhusu video yake ya 'That Mufasa' inayosambaa kwenye mtandao ya kijamii na vutia wengi. Video ambayo ilipatikana kwenye kipindi cha...
Katika pitapita zangu kwenye mitandao ya kijamii mapema leo Februari 26, 2025 nikakutana na video inayomuonesha mwanamuziki Alikiba akisalimiana na Harmonize kwa kukumbatiana ...
Unaweza kusema ni bahati ya kipekee iliyoishukia Tanzania kwa mara nyingine tena. Achana na mashindano ya AFCON 2027 ambayo pia yatafanyika Tanzania. Kwa sasa ni tukio la buru...