Mchezaji wa ‘klabu’ ya Yanga Aziz Ki siku ya jana Mei 29, 2024 alitembelea klabu ya mpira wa kikapu ya Dar City Basketball na kufanya nao mazoezi huku akiweka wazi...
Mkali wa Hip-hop kutoka Marekani Diddy ameripotiwa kuwa hatokuwepo kwenye mahafari ya binti yake itwaye Chance (17) huku wadau wakieleza kuwa hatohudhuria katika sherehe hiyo ...
Mwanamitindo kutoka Marekani Jessica Gomez ambaye sauti yake ilisikika mwanzoni mwa wimbo wa ‘rapa’ Rick Ross aliomshirikisha Jay-Z uitwao ‘May Back Music&rs...
Mwigizaji kutoka #Marekani ,. Will Smith ameripotiwa kupata maokoto mengi katika mauzo ya filamu zake mbalimbali anazozitoa huku filamu ya ‘Bad Boys’ ikiongoza kwa...
Mwanamuziki na producer wa #Marekani Snoop Dogg amewashukuru wasanii wenzake Kendrick Lamar na Drake kwa kurudisha muziki kwenye mstari.Akiwa kwenye mahojiano yake na ‘E...
Bondia Tyson Fury na Oleksandr Usyk ambao walizichapa wiki chache zilizopita wanatarajia kupanda tena ulingoni Desema 21, 2024.Taarifa ya pambano hilo imethibitishwa leo Mei 2...
Mwanamuziki kutoka Marekani Eminem ametangaza ujio wa wimbo wake mpya ambao utaachiwa siku ya Ijumaa Mei 31, 2024 alioupa jina la ‘Houdini’.Kupitia ukurasa wake wa...
Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' amempongeza Stephane Aziz Ki kwa kuibuka mfungaji bora kwa kupachika mabao 21 huku akiweka wazi kuwa alistahili.Fei Toto ambaye amef...
Licha ya watu watano kufariki na meli ya #OceanGate mwaka jana, bilionea kutoka jimbo la #Ohio nchini #Marekani Larry Connor ametangaza kuwa ana mpango wa kuanza safari ya kue...
Tazama mtoto wa miaka 2 aitwaye #Devan akionesha ufundi wake kwenye somo la hisabati katika shindano ya kusaka vipaji la America's Got Talent linaloendelea nchini&nb...
Baada ya kutangaza kupata changamoto ya kiafya kwenye ndege, bondia wa uzani wa juu Mike Tyson, amewaondoa hofu mashabiki wake kwa kueleza kuwa kwa sasa yupo sawa asilimia 100...
Sokwe maarufu wa marehemu mkali wa Pop Michael Jackson, aitwaye Bubbles ameripotiwa kufikisha miaka 40 ambapo kwasasa anatunzwa katika kituo cha kulea wanyama cha Apes Wauchul...
Wakati mashabiki kutoka Nigeria wakimshambulia mwanamuziki Ayra Starr kuhusu mavazi yake yanayo onesha maungo ya mwili, kwa mwanadada Tiwa Savage imekuwa tofauti ambapo yeye a...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Doja Cat ameripotiwa kumtolea maneno machafu baba yake mzazi hii ni baada ya kutokuwa na maelewano mazuri na mzee wake huyo.Kupitia ukurasa...