27
Mwaisa: waliamini nimepotea kuingia kwenye vichekesho, lakini Mungu ameblesi
Wakati baadhi ya vijana wakisubiri kuajiriwa mchekeshaji Hakika Nyonyoma Mwapongo maarufu kama Mwaisa Mtumbad anasema anaamini kwe...
27
Biashara ya saa, mabegi, ilivyobadilisha maisha ya Swabri
Kama tulivyokubaliana katika makala zetu za nyuma kuwa katika upande wa biashara sasa tumeamua kuwasogeza vijana na wachakarikaji ambao wanaendesha maisha yao kupitia biashara...
25
Mtoto wa mwaka mmoja aweka rekodi ya dunia
Mtoto wa mwaka 1 na siku 152 kutoka Ghana aitwaye Ace-Liam Nana Sam Ankrah ameweka rekodi ya dunia ‘Guinness World Records’ kwa kuwa mchoraji mdogo zaidi duniani.K...
25
Diamond na Zuchu washinda tuzo za TDA
Usiku wa kuamkia leo msanii Zuchu na Bosi wake Diamond wameshinda tuzo za Tanzania Digital Awards(TDA) ambapo Diamond ameondoka na tuzo ya msani bora wa kiume wa mwaka anayetu...
25
Leo dunia inaadhimisha siku ya Wine
Inaweza ikawa wikiendi nzuri kwa baadhi ya watu wanaotumia mvinyo kwani kila ifikapo tarehe ya leo Mei 25, ulimwengu unaadhimisha siku ya mvinyo (wine) hivyo basi unaweza kusi...
25
Paula Kajala: Ujauzito si kitu
Mpenzi wa msanii wa Bongo Fleva, Marioo, Paula Kajala ameweka wazi kuwa mjamzito si kitu, bali hisia bora ni pale unapokabidhiwa mtoto wako na Nesi.Kupitia ukurasa wake wa Ins...
25
Mwana FA atamba hakuna msanii wa hip-hop anayemzidi kuandika
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuna (Mwana FA) amesema kuwa bado hakuna msanii wa miondoko ya Hip Hop aliyeweza kuchukua nafasi yake kwenye uandishi wa...
25
Nyota ya Diddy ya Walk of Fame haitaondolewa
Baada ya kuandamwa na kesi za unyanyasaji wa kingono huku baadhi ya makampuni aliyokuwa akishirikiana nayo yakivunja mikataba, sasa wadau mbalimbali wanataka nyota ya mkali wa...
25
Mwigizaji wa Super size me afariki dunia
Mwandishi wa filamu na mwigizaji kutoka Marekani Morgan Spurlock, ambaye alijulikana zaidi kupitia filamu yake ya mwaka 2004 iitwayo ‘Super Size Me’ amefariki duni...
25
Utafiti: Watu milioni 17.7 wanatumia bangi
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Jonathan Caulkins kutoka Chuo Kikuu cha Carnegie Mellon, umebaini kuwa matuminzi ya bangi yameongezeka nchini Marekani yakipiku matuminzi ...
24
Filamu yenye mapito ya Celine Dion mbioni kuachiwa
Mwanamuziki Celin Dion amezua gumzo mitandaoni baada ya trela ya filamu yake ikimuonesha akilia kwa uchungu wakati akielezea mapito yake kufuatia na ugonjwa unaomsumbua wa &ls...
24
Osimhen Aitamani Chelsea
‘Straika’ wa Napoli na Nigeria Victor Osimhen, 25, amepanga kukataa ‘ofa’ za Paris St-Germain na Saudi Arabia ili ajiunge na Chelsea katika dirisha lij...
24
Hit em up ya Tupac ndiyo wimbo bora wa hip-hop
Wimbo wa marehemu Tupac Shakur uitwao ‘Hit Em Up’ umetajwa na Billboard kuwa ndiyo wimbo bora wa muda wote huku ukishika nafasi ya kwanza katika tovuti hiyo.Kwa mu...
24
Motsepe: goli la Aziz Ki lilikuwa ni halali
Rais wa shirikisho la 'soka' Afrika (CAF), Patrice Motsepe amekiri kuwa goli la #Yanga lililokataliwa na mwamuzi katika mchezo wa robo fainali dhidi ya Mamelod Sundo...

Latest Post