Waandaaji wa tuzo kubwa za muziki za Grammy wametangaza tarehe rasmi ya ugawaji wa tuzo hizo awamu ya 67 kwa mwaka 2025.Kupitia ukurasa wao wa Instagram wameorodhesha tarehe m...
Mwanamuziki wa Bongo Flava nchini, Diamond Platnumz, ameendelea kuonesha ukubwa wake baada ya kufikisha zaidi ya streams milioni 400 kwenye mtandao wa kuskiliza mziki wa &lsqu...
Kutokana na mgogoro unaoendelea kwenye mtandao wa Instagram kati ya wanamuziki Elias Barnabas, ‘Barnaba’ na Omary Ally,‘Marioo’, kuhusu Tuzo za Muziki ...
Baada ya kuthibitisha kutarajia kupata mtoto, hatimaye mwanamuziki Marioo na mpenzi wake Paula Kajala wamepata mtoto wa kike waliyompa jina la Amarah.Kupitia ukurasa wa Instag...
Baada ya washukiwa watano kati ya saba wanaohusishwa kuhusika na kifo cha ‘rapa’ Kiernan Forbes maarufu AKA kuomba dhamana mwezi uliyopita, na sasa dhamana hiyo im...
‘Klabu’ ya Manchester United inataka walau asilimia 75 ya kiasi cha pesa ilicholipa kumnunua Jadon Sancho mwaka 2021 ikiwa ‘timu’ yoyote itataka kumsaj...
PBaada ya mkali wa Hip-hop kutoka Marekani kuomba radhi hadharani kufuatia na video ikimuonesha akimshambulia aliyekuwa mpenzi wake Cassie huku mashabiki wakijadiri kuwa kwani...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Adele ameweka wazi kuwa kwa sasa yupo tayari kuanzisha familia na mpenzi wake Rich Paul, na endapo atabahatika kupata mtoto basi anatamani a...
Binadamu hawaishiwi vioja, starehe ni nyingi duniani lakini wapo ambao wamechagua kupiga chabo mambo yasiyowahusu.Achana na wale wa madirishani, au wazee wakuiga hadi jina kwe...
Baada ya maswali mengi juu ya ndoa ya beki wa klabu ya Richards Bay inayoshiriki Ligi Kuu Afrika Kusini, Mtanzania Abdi Banda, mwenyewe kajitokeza na kufafanua ilivyokuwa.Staa...
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola jana alimwaga machozi baada ya kuulizwa swali kuhusu kuondoka kwa meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp.Klopp jana aliiongoza Liverpool kwe...
Baada ya kusambaa kwa video zikimuonesha Diddy akimpiga aliyekuwa mpenzi wake Cassie, huku baadhi ya wadau mbalimbali wakimshamulia rapa hiyo na sasa imeripotiwa kuwa siku mbi...
Mwigizaji kutoka Marekani Will Smith ameweka wazi kuwa yeye na mwigizaji mwenziye Michael B. Jordan wanampango wa kutoa muendelezo wa filamu ya ‘I Am Legend 2’.Smi...
Imeripotiwa kuwa pambano la ndondi kati ya Jake Paul na Mike Tyson limefanya kufuru katika mauzo yake ya ‘tiketi’ baada ya kupata dola milioni 10 ikiwa ni zaidi ya...