Miss Kinondoni Gift Moureen, mlimbwende anayechipukia kwa kasi ameeleza kwa undani kuhusiana na safari yake ya urembo na kusema anataka kuona siku moja anatwaa taji la Taji la...
Mwanamuziki kutoka Marekani 50 Cent sasa ameamua kuhamia kwa mkali wa hip-hop nchini humo Jay-Z akidai kuwa msanii huyo ameamua kutulia nyumbani mpaka mambo yatakapokaa sawa.5...
Mtoto wa miaka 10 kutoka Indiana aitwaye Sammy Teusch, amechukua uamuzi wa kujiua baada ya wanafunzi wenzake kumtania mara kwa mara kuhusu meno na miwani anayo vaa.Taarifa ya ...
Baada ya kusubiri majibu ya vipimo ya mwili wa mwanamuziki kutoka Nigeria Mohbad kwa miezi nane sasa, Daktari Bingwa wa Uchunguzi wa Kisayansi na Patholojia kutoka Hospitali y...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #RealMadrid, #LukaModric huwenda asionekane msimu ujao katika kikosi cha timu hiyo baada ya kuripotiwa kuwa Madrid haina mpango wa kumuongez...
Mwigizaji na mwanamuziki kutoka Marekani Ludacris amedai kuwa msanii Jay-Z hamuwezi katika uandishi wa mistari ya nyimbo na endapo wangepewa masaa mawili ya kuandika basi yeye...
Wandoa waliyopishana miaka 37 kutoka nchini Marekani Cheryl McGregor (63) na mume wake Quran McCain (26) wamezua gumzo mitandaoni baada ya kudai kuwa wanatarajia kupata mtoto ...
Mkali wa muziki wa amapiano, Issaya Mtambo 'Chino Kidd' ambaye sasa anafanya vizuri na wimbo wa Binadamu amesema licha ya changamoto ya ushindani kwenye sanaa amejipata anawez...
Vijana wa kiume watatu wameripotiwa kujeruhiwa kwa kupigwa risasi katika eneo la Dixie Marekani wakati mwanamuziki Lil Baby akiwa ana-shoot video ya ngoma yake mpya.
Kwa mujib...
Mwanasoka wa zamani #JamieCarragher amemtaja kocha wa ‘klabu’ ya #AstonVilla, #UnaiEmery kuwa ndiye kocha bora zaidi katika msimu huu kwenye ‘ligi kuu ya #En...
Mkali wa Hip-hop kutoka nchini Marekani, Diddy Combs, ame-share ujumbe kwa mashabiki uliyokuwa ukieleza kuwa muda ndio utaongea ukweli wote.
Diddy ame-share ujumbe huo kupitia...
Mwigizaji na mtayarishaji wa muziki Marekani Questlove, amedai kuwa hakuwahi kuwa shabiki wa marehemu mwanamuziki Tupac wala kuikubali ngoma yake iitwayo ‘Hit Em Up&rsqu...
Mahakama nchini Austria imeidhinisha mfunguwa Josef Fritzl (89) aliyembaka binti yake na kumzalisha watoto saba kuhamishwa gereza baada ya tabia yake kubadilika.
Inaelezwa kuw...
Baada ya siku ya juzi mawakili wa mkali wa Hip-hop kutoka Marekani Diddy kuomba mahakama kufuta baadhi ya kesi kutokana na kesi hizo kuwa za uongo, kijana wa Combs, King Combs...