Neno la Kiswahili Hakuna Matata, linaendelea kutikisa kwenye nyimbo za wasanii kutoka Marekani baada ya mwanamuziki Gunna kutoka nchini humo kuachia wimbo unaoitwa Hakuna Mata...
Mkali wa afrobeat kutoka Nigeria Davido ameweka wazi kuwa ana mpango wa kuacha kuimba muziki.Davido kupitia instastory yake ameeleza kuwa kuna watu hawamtakii mema wanataka aa...
Bondia wa ngumi za kulipwa kutoka Uingereza, Tyson Luke Fury ametumia saa ya kifahari iliyotengenezwa na kampuni ya Jacob & Co kutangaza pambano lake na bondia kutoka Ukra...
Mwanamuziki maarufu kutoka Canada Justin Bieber na mkewe Hailey wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa miaka saba.Wawili hao wameweka wazi s...
Maafisa elimu Marekani wameingi katika uchunguzi wa bango la ubaguzi wa rangi lililomlinganisha nyota wa NBA, LeBron James na tumbili katika tangazo la chakula cha nafaka liit...
Mke wa zamani wa mwigizaji Tyrese Gibson, Norma Mitchell amemshitaki Ex wake huyo baada ya kudai kuwa Tyrese alimchafua kwa kuposti habari binafsi kuhusu yeye pamoja na binti ...
Familia ya aliyekuwa mwanamuziki na dancer kutoka Afrika Kusini marehemu #CostaTitch wametoa taarifa rasmi ya sababu ya kifo cha mwanamuziki huyo.
Tovuti ya The Express Tribun...
Trela inayoendelea kusambaa kupitia mitandao ya kijamii ya reality show ya familia maarufu nchini Marekani ‘The Kardashians on Hulu’ imewashitua mashabiki baada ya...
Kikundi cha wapelelezi 11 nchini Urusi walisafiri kwa takribani siku 36 kwa ajili ya kupeleleza kwenye baadhi ya mipaka nchini humo ambapo baada ya kumaliza kazi hiyo walilazi...
Beki wa klabu ya #BayernMunich, #MathiasDeLigt amedai kuwa mwamuzi wa pembeni katika ‘mechi’ iliyochezwa jana Jumatano dhidi ya #RealMadrid amemfuata na kumuomba r...
Baada ya kutokuwa kwenye maelewano kwa muda wa miezi mitano mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterCity, #KyleWalker na mkewe #AnnieKilner wameonekana kuwa katika hatua...
Kila ifikapo tarehe ya leo Mei 9, ulimwengu unaadhimisha siku ya soksi zilizopotea.
Katika siku hii mataifa mbalimbali husherehekea kwa kutupa soksi zilizobaki ambazo hazina m...
Waswahili husema mcheza kwao hutunzwa, hivi ndivyo lafudhi ya Kimakonde ilivyobadili maisha ya Tabu Mtingita mzaliwa wa Mtwara kuwa miongoni mwa waigizaji mahiri nchini Tanzan...
Bondia wa ngumi za kulipwa kutoka Marekani, Mike Tyson ameweka wazi kuwa kwa sasa anakula nyama mbichi kwa ajili ya kujiandaa na pambano lake dhidi ya Jake Paul linalotarajiwa...