Washindi wa ‘American Got Talent’, The Ramadhan Brothers wametimiza lengo lao la kupanda na kufika kileleni katika Mlima Kilimanjaro wakiwa na Tuzo yao ya ushindi ...
KwDk Lewis Elliott a mujibu wa utafiti uliyofanywa na Dk Lewis Elliott kutoka Chuo Kikuu cha Exeter nchini Uingereza umebaini kuwa watu wanaoishi karibu na mazingira ya ufukwe...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Korea Kusini aliyejulikana kwa jina la Jeong Ji-sun, ametapeliwa kiasi cha dola 50,000 ikiwa ni zaidi ya Sh 129 milioni na mtu alitumia Akili Band...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Yanga Dickson Job amemtania mchezaji mwenzake Mudathiri Yahya kwa kueleza kuwa simu aliyokuwa akitumia Mudathiri kupiga wakati akiwa amefung...
Kocha mkuu wa ‘klabu’ ya Manchester United, Erik ten Hag ameweka wazi kuwa bado yupo sana klabuni hapo na hana mpango wa kuondoka kwa msimu huu utakapo kwisha.Ten ...
Baada ya nyumba aliyokuwa akiishi kuharibiwa na dhoruba la barafu mwanamama Jo Ann Ussery, maarufu 'Little Trump' ambaye alikuwa anajihusisha na masuala ya saluni aliamua kunu...
Baada ya ‘rapa’ Kendrick Lamar kutoa ngoma kwa mpigo kwa ajili ya Drake, mwanamuziki huyo naye amejibu mashabulizi hayo kwa kutoa ngoma mpya siku ya jana iitwayo &...
Moja ya tukio lililowafurahisha na kuwavutia mashabiki wengi ni baada ya wachezaji wa ‘klabu’ ya #GetafeFC kutoka nchini Uhispania kuingia uwanjani na wazazi wao w...
Baada ya ukurasa ujulikanao kwa jina la ‘Keep 6ix Solid” ku-share baadhi ya picha za ndege ya mwanamuziki kutoka nchini Marekani Rick Ross kunusurika na ajali &lsq...
Wakati dunia ikiadhimisha siku ya mnyama wa porini aitwaye koala leo Mei 3, jamii imesisitizwa kuhusu umuhimu wa kulala na utunzaji wa mazingira.Koala ni mnyama wa familia ya ...
Watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini China wamestaajabishwa na muundo wa kituo kipya cha treni, kituo hicho kufananishwa na taulo za kike (pedi).Muundo huo uliyopendekezwa ...
Willow Smith ambaye ni mtoto wa mwigizaji kutoka nchini Marekani, Will Smith, ameweka wazi kuwa mafanikio aliyonayo hayatokani na wazazi wake bali ni juhudi zake mwenyewe.Will...
Mume wa mfanyabiashara Zari, Shakib Lutaaya ameomba kuzichapa na mwanamuziki wa #Bongofleva nchini Harmonize, hii ni baada ya Konde kupitia instastory yake kudai kuwa ameamua ...
Mauzo ya simu za iPhone zinazotengenezwa na kampuni ya Apple yameshuka duniani kote kwa asilimia 10 katika miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka 2024.Hayo yamebainishwa na utafiti u...