Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki na Meneja wa msanii Diamond, Babu Tale kama ilivyo kawaida yake kutoa maua kwa wasanii mbalimbali nchini leo ameamka na mwanamuziki #Jaymel...
Wakati wadau mbalimbali wakisubiri kuona muonekano wa mwanamuziki Rihanna katika usiku wa tamasha la mitindo duniani ‘Met Gala’ lililofanyika katika ukumbi wa &lsq...
Klabu ya Simba ndiyo yenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii kwa upande wa Afrika Mashariki.
Timu hiyo inakaribia wafuasi milioni 11, kupitia kurasa zake za mitandao ya...
Pisi Kali hanywi pombe kali wala ngumu. Anakunywa pombe laini tena zisizozidi chupa tatu kwa wikiendi tu. Siku za kawaida pisi kali hagusi pombe wala hana outing. Pisi kali ak...
Mkongwe wa muziki wa Pop, nchini Marekani Madonna ameweka rekodi kwa kuandaa tamasha kubwa kwenye ufukwe wa Copacabana katika mji wa Rio de Janeiro, Brazili siku ya Jumamosi.
...
Meneja wa zamani wa klabu ya #RealMadrid, Julen Lopetegui amefikia makubaliano na timu ya West Ham United kwa ajili ya kuchukua mikoba ya David Moyes kama kocha mkuu klabuni h...
Mkongwe wa nyimbo za Pop nchini Uingereza, Spandau Ballet Martin Kemp (62) amedai kuwa amebakiza miaka 10 ya kuishi baada ya kuteseka na uvimbe kwenye ubongo.
Kwamujibu wa Tov...
Mwanamuziki maarufu kutoka nchini Marekani, Usher Raymond amewafurahisha mashabiki wake kwa kuendelea na show licha ya hali mbaya ya hewa ya baridi kali iliyotokea akiwa katik...
Mkurugenzi kampuni inayojihusisha na mitindo ya nguo za wanawake Pretty Little Thing (PLT), bilionea #UmarKamani amefunga ndoa na mwanamitindo kutoka nchini Uingereza #NadaAde...
Maziko ya muongozaji wa video za muziki nchini Tanzania na filamu maarufu Director Khalfani Khalmandro yatafanyika leo saa 10 alasiri katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es S...
Aliyekuwa muongozaji wa video za muziki nchini Tanzania, Director Khalfan Khalmandro amefariki dunia alfajiri ya leo Mei 5, 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipoku...
Imeripotiwa kuwa kocha wa klabu ya #ManchesterCity, #PepGuardiola amesisitiza kuwa klabu ya #Arsenal ina nafasi kubwaya kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu ikiwa wa...
Washindi wa ‘American Got Talent’, The Ramadhan Brothers wametimiza lengo lao la kupanda na kufika kileleni katika Mlima Kilimanjaro wakiwa na Tuzo yao ya ushindi ...
KwDk Lewis Elliott a mujibu wa utafiti uliyofanywa na Dk Lewis Elliott kutoka Chuo Kikuu cha Exeter nchini Uingereza umebaini kuwa watu wanaoishi karibu na mazingira ya ufukwe...