Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF), limemteua mwamuzi Jean Jacques Ndala kutoka nchini Congo, kusimamia mchezo wa mkondo wa pili wa Fainali ya ‘klabu’ bingwa A...
Mchezaji wa #ManchesterUnited, #LisandroMartinez anatarajiwa kurudi tena uwanjani katika mchezo wa fainali ya kombe la FA utakaochezwa Mei 25, 2024 katika uwanja wa #Wembley n...
‘Rapa’ kutoka Marekani 50 Cent amemshitaki mpenzi wake wa zamani aitwaye Daphne Joy kwa kumshutumu hadharani kuwa aliwahi kumfanyia unyanyasaji wa kimwili.
Kwa muj...
Mwigizaji maarufu kutoka nchini Marekani Bernard Hill, ambaye alitambulika zaidi kupitia filamu ya Titanic amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79.
Taarifa ya kifo chake ili...
Vazi alilovaa mwigizaji kutoka nchini India Alia Bhatt kwenye tamasha la mitindo duniani ‘Met Gala’ lililofanyika siku ya Jumatatu Mei 6 katika ukumbi wa ‘Me...
Idadi ya mamilionea kutoka katika jiji la New York nchini Marekani imeongezeka katika miaka ya hivi karibuni huku ikikadiriwa kuwa mmoja kati ya wakazi 24 anatajwa kuwa ni mil...
Mchezaji wa zamani wa ‘klabu’ ya #PSG, #ThiagoSilva ameamua kurudi kwenye ‘ligi’ kuu ya #Brazil baada ya kuthibitisha kuondoka katika klabu ya #Chelsea...
Baada ya kuripotiwa kuwa mwanamuziki Rihanna hakuweza kuhudhuria katika tamasha la mitindo la ‘Met Gala’ lililofanyika nchini Marekani, baadhi ya watu wametengenez...
Mwanamuziki kutoka nchini Afrika Kusini Tyla naye amekuwa ni miongoni wa mastaa waliyohudhuria katika usiku wa tamasha la mitindo nchini Marekani liitwalo ‘Met Gala&rsqu...
Mwana-soka wa zamani wa ‘klabu’ ya Liverpool na Uingereza #JemieCarragher amedai kuwa mchezaji wa Manchester United Casemiro hafai kuwa ‘klabuni’ hapo ...
Mwongozaji wa filamu ya ‘Fast & furious 11’, kutoka nchini Marekani # LouisLeterrier amethibitisha kuwa toleo la mwisho la filamu hiyo litaachiwa mwaka 2026&nb...
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amesema bado anataka kuendelea kupambana kuhakikisha anakuwa kocha wa timu hiyo msimu ujao pamoja na kupata matokeo mabaya.
United ili...
Makampuni ya mawasiliano ya simu nchini Japan, DOCOMO, NTT Corporation, NEC Corporation, na Fujitsu yamezindua kifaa cha kwanza cha 6G dunaini ambacho hutoa kasi ya utumiaji d...
Mwanaume mmoja kutoka nchini Marekani aliyefahamika kwa jina la Ronnie Wiggs ameshitakiwa kwa kosa la kumuua mkewe akiwa Hospitali baada ya kushindwa kulipa ‘bili’...