Wakati bifu la wanamuziki kutoka Marekani Drake na Kendrick Lamar likiwa limepowa kwa muda, ‘rapa’ Lamar anaendelea kukimbiza na kuonesha ubabe katika chati za Bil...
Mwanamuziki wa Marekani Stevie Wonder sasa ni raia wa Ghana baada ya kula kiapo cha utii na kupokea cheti cha Uraia kutoka kwa Rais wa nchi hiyo Nana Akufo-Addo jana Mei 13, 2...
Imeripotiwa kuwa takibani watu 14 wamefariki dunia siku ya jana Jumatatu Mei 13, 2024 baada ya kuangukiwa na bango la matangazo kufuatiwa na mvua iliyonyesha jijini Mumbai nch...
Baada ya mtengeneza maudhui kutoka Marekani, Mr Beast kuahidi kutokla zawadi ya magari 26 kwa mashabiki zake katika siku yake ya kuzaliwa, hatimae mtengeneza maudhui huyo amet...
Jogoo mmoja nchini Ufaransa aliyepewa jina la ‘Maurice’ aliburuzwa Mahakamani kutokana na kusababisha kelele wakati wa usiku jambo ambalo lilipelekea baadhi ya maj...
Uchunguzi wa pili kuhusu madai ya kukwepa kodi kutoka kwa mwanamuziki wa Colombia, Shakira umefutiliwa mbali na hakimu baada ya waendesha mashitaka wa Uhispania kutaka uchungu...
Kila ifikapo tarehe ya leo Mei 11, ulimwengu unaadhimisha siku ya kula unachokitaka duniani.Kwa mujibu wa tovuti ya ‘National Day Calendar’ imeeleza namna siku hii...
Wafanya utafiti wa anga kutoka Marekani The National Aeronautics and Space Administration (NASA) wametangaza mipango ya kujenga reli kwenye mwezi ifikapo mwaka 2030.Mradi huo,...
Idara ya Polisi ya ‘Miami Beach’ nchini Marekani imetangaza kuwa kwasasa polisi watatumia magari ya Rolls-Royce katika doria za sehemu ya ufukwe (beach) pamoja na ...
Mabondia wa ngumi za kulipwa kutoka Marekani Mike Tyson na Jake Paul wanaotarajia kuzichapa Julai mwaka huu siku ya jana wametoa bei ya tiketi za VIP ambapo ‘tiketi&rsqu...
Baada ya ukimya wa miezi kadhaa sakata la mkali wa hip-hop kutoka nchini Marekani Sean Combs maarufu Diddy limeanza upya na sasa mawakili wake wamewasilisha ombi kufutwa kwa k...
Kijana mmoja kutoka nchini Nigeria aliyetambulika kwa jina la Young C, ametoka akiwa mzima baada ya kuzikwa kwa saa 24.Kijana huyo alitangaza kufanya tukio hilo kupitia mtanda...