Baada ya mwanamuziki na dansa kutoka Marekani Cassie, kuweka wazi siku ya Jana Alhamis Mei 23, 2024 kuwa yupo tayari kuwashika mkono wanawake wote ambao wamefanyiwa ukatili, n...
Baada ya kusambaa kwa video ya mwanamuziki na dansa Cassie akishambuliwa na aliyekuwa mpenzi wake Diddy, hatimaye Cassie amevunja ukimya na kutoa neno la shukrani kwa mashabik...
Serikali ipo mbioni kufanya mageuzi katika Sekta ya Utamaduni na Sanaa ili ijiendeshe kibiashara, izalishe ajira kwa wingi, iwe chanzo cha mapato ya fedha za kigeni pamoja na ...
Mwandishi na Mwigizaji kutoka Marekani Tyler Perry amuomba radhi Rais wa Kenya William Ruto baada ya Rais huyo kutembelea katika studio zake na kutoonana na mwigizaji huyo.Tyl...
Kundi la zamani la New Orleans limewashitaki wanamuziki Beyonce, Jay-Z na Big Freedia kwa ukiukwaji wa hakimiliki kutoka katika wimbo wa Beyonce wa ‘Break My Soul’...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani ambaye pia alikuwa mpenzi wa mtoto wa Bob Marley, Rohan Marley, Lauryn Hill ametunukiwa tuzo ya heshima na ‘Apple Music’ ...
Mke na mtoto wa marehemu George Floyd wameripotiwa kutayarisha filamu iitwayo ‘Daddy changed the World’ ya maisha ya mwanaume huyo ambaye aliuwawa na polisi nchini...
Unyoya mmoja wa ndege aina ya Huia kutoka New Zealand umeripotiwa kuuzwa kwa dola 28,417 ikiwa ni zaidi ya Sh 73 milioni katika mnada wa Webb.Kwa mujibu wa tovuti ya #Cnn imee...
Binti wa ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Eminem, Hailie Jade Scott, ameripotiwa kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Evan McClintock ndoa hiyo iliyofungwa wikie...
Kocha wa ‘Klabu’ ya Manchester City, Pep Guardiola ametangazwa kuwa ‘kocha’ bora wa mwaka katika Ligi kuu ya Uingereza kwa mwaka 2023/2024.Guardiola am...
Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria, Burna Boy ameripotiwa kuingia kwenye tasnia ya filamu kama mtayarishaji mkuu katika filamu iitwayo ‘3 Cold Dishes’.Kwa muj...
Filamu iliyoandaliwa na 50 Cent kuhusu madai ya unyanyasaji wa kingono yanayomkabili Diddy, iitwayo ‘Diddy Do It?’ inatarajiwa kuoneshwa katika mtandao wa Netflix ...
Mkali wa Hip-hop kutoka Marekani Diddy anakabiliwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kingono ambayo imefunguliwa hivi karibuni na mwanamitindo wa zamani Crystal McKinney, tuk...