Rapa wa Marekani Rick Ross ameonesha nia ya kununua mjengo wa msanii Cardi B baada ya rapa huyo kudai kuwa ameuchoka.Kupitia kwenye mtandao wa X zamani Twitter Rapa huyo wakik...
Mwanamuziki kutoka nchini Canada ambaye makazi yake ni Marekani The Weeknd ameingia kwenye vichwa vya habari mbalimbali baada ya kuripotiwa kulipia mabango katika nchi mbalimb...
Kulingana na utafiti uliyofanywa na kampuni ya ‘Kantar Worldpanel’, unaeleza kuwa nchi ya Brazil inashika nambari moja kama nchi inayopenda kuoga zaidi duniani, ik...
Ngoma ya Loyal ya mkali Chris Brown yaibukia kwenye mtandao wa TikTok ambako watu mbalimbali wamekuwa wakitumia kuchapisha video zao.Ngoma hiyo ambayo ilitoka Machi 24, 2014 h...
Mwandishi wa filamu kutoka Marekani Robert Eggers, ameimwagia sifa filamu ambayo inatizamwa zaidi katika kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka kwa kuitaja kuwa filamu bora ya...
Filamu maarufu inayokimbiza zaidi Duniani kote ya ‘Squid Game’ msimu wa pili imeripotiwa kuweka rekodi kwa kushika namba moja kwenye nchi zaidi ya 93.Kwa mujibu wa...
Rapa Malume Centrozone ameendelea kuwatambia rapa wenzake kutokana na mapokezi ambayo amekuwa akipata kila apandapo jukwaani na Country Wizzy ambaye wanaunda kundi la Moco.Map...
Pastor Tony Kapola ahaidi kumsaidia matibabu, na kumtafutia nyumba mwanamuziki chipukizi wa Arusha aitwaye Hashi Papi.Ahadi hizo zimetolewa baada ya kijana huyo kutumbuiza usi...
Awali lilipotajwa jina G Nako, wengi kwenye vichwa vyao zilisikika ngoza za hip-hop, lakini kwa sasa imekuwa tofauti kwani msanii huyu ameendelea kuonesha uwezo wake wa kutamb...
Visa na mikasa ni sehemu ya maisha ya binadamu bila kujali afanya shughuli gani. Kawaida visa hivyo na matukio huacha kumbukumbu katika jamii. Ikiwa mwaka 2024 unaelekea kuish...
Ni miongoni mwa waimbaji wachache wa kike walioanza kuvuma mwanzoni mwa miaka ya 2000, uandishi na sauti yake ya kuvutia vilimfanya kujizolea mashabiki na hata wasanii wenzake...
Mwanamke anayemtuhumu nyota wa muziki Jay-Z, kumfanyia unyanyasaji wa kingono akiwa na miaka 13, mwaka 2000, ameendelea kufichwa utambulisho wake na mahakama.Analisa Torres am...
Marcus Abba anashtumiwa na baba yake mkubwa, Douglas Mayanja 'Weasel' ambaye pia ni mwanamuziki kwa kumkosoa baba yake mzazi, Jose Chameleone kutokana na mtindo wake wa maisha...
Hatimaye filamu maarufu ya Korea Kusini iitwayo Squid Game msimu wa pili inaachiwa rasmi leo Desemba 26, 2024.Msimu huu mpya wa Squid Game unatarajiwa kumuonesha mshindi wa aw...