Mwandishi Wetu, Mwananchi
Miaka 12 iliyopita, msanii Naseeb Abdul 'Diamond aliwahi kueleza Bila malipo ya Sh 10 Milioni hafanyi kolabo.
Hiyo ilikuwa ni Juni 6, 2012, wa...
Asma HamisMwanaume mmoja kutoka nchini Saudia aliyefahamika kwa jina la Abu Abdullah (63) amedaiwa kuoa mara 53 kwa kipindi cha miaka 43 kumtafuta mwanamke atakaeweza kumpa ut...
Ikiwa leo Oktoba 2, mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Naseeb Abdul 'Diamond' anasheherekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka 35, ndani ya miaka hiyo msanii huyo tayari ame...
Ikiwa jana Septemba 3, 2024 dirisha la kuwapigia kura wasanii watakaowania Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) lilifunguliwa, hivi ndivyo vipengele 17 vinavyoshindaniwa ambavyo vime...
Msanii wa Hip-hop nchini Abdulrazak Selemani ‘Toxic’ wakati akifanya mahojianoa na Mwananchi Scoop, ameweka wazi hisia zake za kimapenzi kwa mwanamuziki Abigail Ch...
Haya ndiyo magauni yenye gharama zaidi duniani. Vipi unaweza kununua au tukuache na nguo zako za kariakoo?
1.Nightingale ya Kuala Lumpur yenye gharama ya dola 30 milioni sawa ...
Baada ya siku za hivi karibuni mwanadada @divathebawse kusema anatamani ku-adapt mtoto kutokana na kutopata mtoto kwa muda mrefu, sasa mume wa mtangazaji huyo #Abdulrazk ameib...
Waswahili wanasema cha kale ni dhahabu msemo huo umethibitika huko nchini Iraq baada ya kupatikana kipande cha jiwe chenye umri wa miaka 2,800 kimeonyeshwa baada ya kurejeshwa...
Aliekuwa mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema sasa anasema sababu ya yeye kujiunga na klabu ya Al Ittihad ni kwakua nchi hiyo imejaa idadi kubwa ya waislamu.
Benze...
Mkurugenzi wa Wasafi Media na mwanamuziki mashuhuri Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ametimiza ahadi yake ya kumkabidhi zawadi mlinda mlango au unaweza kumuitwa...
Binti mmoja aliefahamika kwa jina la Fatima Aliyu mwenye umri wa miaka 20 kutoka Kaskazini mwa Nigeria amemshtaki baba yake kwa kumlazimisha kuolewa na mtu asiyemfahamu, ripot...
Baada ya tetesi kua nyingi kwenye mitandao ya kijamii kuwa Mume wa Divatheebawse amefata pesa kwa mrembo huyo hatimaye Diva amenukanusha taarifa hizo.
Diva amefunguka na kusem...
Nyieeee ukisikia balaaa ndio hili sasa bwana Mtangazaji maarufu nchini Tanzania Divatheebawse amefafanunua kuhusu tetesi za kuingilia mahusiano ya mtu. Diva ameamua...
Msanii wa muziki nchini Tanzania, Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ametajwa kuwa msanii namba moja Tanzania aliyesikilizwa zaidi katika mtandao wa Spotify kwa mwaka ...